Kuna jamaa yangu mmoja na ni mtu wangu wa karibu sana,anampenzi wake wa kike ambaye ameshamtambulisha hadi kwao,ila kunamambo ambayo yanamtokea jamaa huyu ambayo amejaribu kuniomba ushauri,na...
Ukisikiliza bongofleva (mi sio mpenzi kiviiile), utagundua vijana wa kiume wanapoibukia, ambapo wengi wanakuwa kwenye early 20s, wanakuwa na nyimbo zao za kwanza za mapenzi zenye msg zinazofanana...
Salaam zenu wanajamii. Miongoni mwa vitu vinavyotufanya tupendane ni mahaba, ukuruba (feeling to each other) maumbile (beauty), maingiliano ya kimwili (sex), matarajio (expectations) na mengine...
...This couple is heading to their honeymoon and their car gets a puncture..
so what do you think is the correct situation here;
1. The guy was forced to marry this lady
2. The guy doesn't...
Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa
ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua
jinsi gani...
Kumekuwa na mijadala mingi sana humu MMU kuhusu kuvunjika kwa ndoa,wapenzi kuachana,kusalitiwa na kusaliti,kupigwa kibuti na yote haya ni matokeo ya mahusiano ya watu wa aina mbili tofauti yaani...
Naomba kutumia jukwaa hili kuwapongeza sana wanawake makini ambao naamini ndio waliojaa JF. Kwa kawaida miaka 2-3 baada ya harusi, vile vijizawadi; jiko, sufuria, glasi, sahani, microwave, sijui...
eti inakuwaje ukioa
mwanamke ambae alishakuwa
na mtoto na huyo mtoto
anakaa kwa baba yake
inakuwaje siku yule mtoto
akiumwa na akalazwa ikabidi
mama yake aende
akamuuguze. Na endapo...
Habari zenu wana jamii,
Leo nina ushauri kwa wale walioko kwenye ndoa, na nimeona niwape ushauri huu kufuatia yalompata dada yangu.
Dada yangu aliolewa miaka ya 1990 na baba mmoja ambae by that...
Wakuu,
Nimekuwa nikikumbana na changamoto nyingi sana katikamaisha lakini kubwa ni wanawake kutaka niwe nao kimapenzi.
Nilifikiria nikaona njia ya pekee ya kuwaepuka ni kuwaheshimu. Siunajua...
Hakimu akasema ndoa ya Mohamed ilikuwa na shangwe na zaidi ya hapo ilifanyika baada ya matangazo ya siku 21
(Picha haihusiani na habari hii.)
Je, umeshawahi kusikia mtu anashitakiwa kwa kuzini...
Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka...
Kitabu kitakuja na cover price ya 18,000; mojawapo ya maduka makubwa nchini ambayo tumeomba tuweze kuuza wao wanataka 40% ya cover price! hii ni sawa na 7200Ths. Angalia:
Gharama ya kuchapa...
Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi:
Jirani yangu ana binti (ni...
Imepita takribani miezi mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama mfanyakazi(engineer) na yupo...
Habari ya asubuhi wanajamvi, namshukuru Mungu nimeamka salama.
Jana baada ya shughuli za siku nzima nilirudi nyumbani kwangu, na muda wa kulala ulipofika nikavaa nguo zangu za kulalia nikalala...
Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo...
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.