Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hilo neno linapotamkwa linajulikana kabisa linahusu nini,lakini wengi huhisi inamhusu zaidi mwanaume.Lakini kuna wanawake nao wana garden bana.Kuna mmoja nilimfuma akifanya mazoezi uwanjani,duh...
0 Reactions
47 Replies
12K Views
kina dada warembo!!kazi kwenu,mmnetupiwa lawama!!mmezidi urembo!
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Jana nikiwa ktk pitapita zangu nililazimika kuingia ktk mgahawa fulani ili nisumbiri jamaa yangu, ambapo nilikaa meza jirani na vijana waliokuwa wakijadiliana vitu mbalimbali, lakini ktk mada...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
hAYA maneno kwenye kanga hii Nani wa KULAUMIWA....
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Wadau, Leo yamenikuta.My IreneRose,Nilishwahi kupost hii thread kumuhusu yeye. https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/252254-she-makes-me-cry.html#post3720071 Nampenda sana huyu...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Mwanamke hachungwi bana anajiongoza mwenyewe! Utaweza kumchunga mtu anaeweza kutumia dakika tano kumaliza kila kitu? Unapoteza nguvu na maarifa tele kumfikiria namna ya kumdhibiti mtu na akili...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Wapendwa, hamjambo? Nimewamiss sana aisee. Nimejikuta nawaza na kujicheka, hii mikingamo, migongano ya misemo ya mapenzi............................Eti 1. If you love someone, let her/him go (if...
1 Reactions
33 Replies
48K Views
Wanabodi. Mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kuwa unaongoza kwa vitendo kuwa na vitendo vingi vya wanawake kuwapiga waume zao. Hayo yamebainishwa na Utafiti uliyofanywa na Kituo cha Haki za...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Three men were at bar. Two of the men were discussing the control they had over they wives, while the third remained uninterested. After a short while the two men turned to the third and asked...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Mara nyingi nimekutana na wanawake wakiwa na alama ya love bite aidha shingoni,shavuni,kwenye paji la uso n.k hii inamaana wanaume huwa hawawapigi busu wapenzi wao? Mbona kwa wanaume si sana na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
3 Powerful Truths to Help Your MarriageYou know the saying, “Marriages are made in Heaven, but they sure take a lot of maintenance on earth!”That’s the truth!Great marriages take work and it’s...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wife slaps ‘risk allowance’ on HIV-positive husband A 27-year-old man on Tuesday morning revealed in a Lusaka Court that his wife has been charging him (Sh11,900) per sexual...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Keeping Strife AwayGalatians 5:14–15 says, “The entire law is summed up in a single command: Love your neighbor as yourself. If you keep on biting and devouring each other, watch out or you will...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Hii skendo ilikuwa ni kama 'jumba bovu' mwanaume mkware aliamua kuniangushia mimi baada ya kuona hakuwa na majibu ya kujitosheleza kwa GF wake baada ya GF wake kugundua kuwa paketi moja ya condom...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wale wakubwa wenzangu mtanielewa vizuri! wakati wetu wasichana warembo walikuwa kwa hesabu. Nilipokuwa shule ya msingi miaka ya '70 nilisoma darasa moja na msichana ambaye kwangu alikuwa a woman...
6 Reactions
80 Replies
7K Views
Wana jamii forum poleni na kazi za kulijenga taifa,naomba kuuliza,kuna rafiki yangu mtaani hapa anampenzi wake ambae anatarajia kutangaza uchumba.lakini huyo mwanamke kamwambia ukweli jamaa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Get well soon Speaker. Una kazi kubwa ya kukamilisha na nina imani utapona haraka uimalize. Miss you sana.
1 Reactions
20 Replies
2K Views
This article is not for ladies alone..Guys, if u love your lady, then my guess is sometimes when she is having her Periods, you are also stressed as she goes through Pain and discomfort.. The...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ila sijajua na nani ila nasikia so much love inside hasa nikipita maeneo fulani hivi hadi kufika asubuhi nitakuwa tayari kutoa tamko lol ni mke wa mtu alikuwa ananisimulia, nikabaki na...
7 Reactions
161 Replies
9K Views
Eti, sababu hasa ya kinadada kutokuwa wawazi pale wapenziwao wanapokuwa hawawafikishi ni nini hasa??? Kwanini huwa wanapenda kuumia kimyakimya??
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…