Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana...
Kuna taarifa kuwa wanawake wanaogoza kuwapiga waume zao hasa kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Zanzibar. Kama ni kweli nani atapona na nani atawalinda hawa wahanga wa vipigo vya akina mama...
Watu wengi wamejikuta wakijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi yasiotarajia kisa tu,kaumizwa na boyfnd wake au galfnd wake.Mapenzi ya namna hii huishia pabaya sana,na kuanza kulaumiana,kwanza...
Wadau mi nataka kujua hawa wamasai wanauza dawa za kweli au na wao wamekuwa n ujanja ujanja wa mjini mjini!!!! Manake wamekuwa wengi sana kwenye biashara hii, mliokumbana nao na mkapata vidonge...
Tathmini ya wanachuo waishio na VVU kwa mwaka 2011 kwa vyuo hivi viwili imepanda kulinganisha na mwaka 2010 ambapo UDSM ilikua 0.6%
Sasa hebu ona hii;
UDSM~2.3%
Mzumbe~200+
Kwa takwimu hii...
mamboz wana jf, polen kwa kuimiss jf. Hivi ni kwanini watu wanaweza kumudu kuwa wapenzi "boyfriend na girlfriend" kwa muda wa mwaka au zaidi ya mwaka then wakifunga ndoa hawamalizi hata mwaka...
Wadau hebu tumbizane jamani hivi hizi kitchen Party zinasaidia/zina faida gani (tuwe wa kweli) kwenye kutunza ndoa au tunaliana hela tu,maana mimi mwezi huu nina harusi za ndugu jamaa na marafiki...
Naombeni ushauri wenu wanajamvi, ni hivi kwenye familia yetu ya upande wa mama tumezaliwa watano
wanawake watatu na wanaume wawili , hao wanne wa mwanzo yaani wavulana wawili na hao
wasichana...
Mwenzenu nimehamia Jijini Dar hivi karibuni baada ya kupata kibarua katika taasisi moja ya Serikali. Katika harakati za kutafuta makazi, nilibahatika kuunganishwa na mwenye nyumba ambaye pia ni...
Unapoamua kumfuga mbwa au paka,anakukubali ulivyo,hata uwe huna mguu mmoja,uwe mweusi,uwe na chongo au uwe huna hela yeye hajui hayo anachojua yeye ni kukupenda tu,hawezi kuhamia nyumba ya jirani...
Wadau wa jamii napenda kwanza niwajulie hali habari zeinu bana...
Kuna mtu ananitesa sana anafanya nisijisikie poa coz...nilipokua mdogo yani ile miaka ya kubarehe kuna msichana hapa mtaani...
Umenitoka Moyoni kwa kusema kweli!
nilikupenda sana kuliko mtu yeyote hapa Duniani lakini matendo yako..
yamenichosha sana unipigii simu mpaka uwenashida,uniambii unanipenda mpaka nikiwa...
hivi jamani duniani ni wawili wawili kweli? mbona sielewi/nna mpenzi ananipenda sana ila mm nimetokea kumpenda msichana mwingine mpka nashangaa sijui nifanye nn.msaada plz:A S embarassed::A S...
Siku hizi wanawake wengi wamekuwa artificial, i mean wanapendeza kwa bidhaa za kichina zinazobabilisha mwonekano wao, kuanzia vichwani (mawigi and such stuffs), vipozozi (cream,mapouda n.k) na...
Player ni fataki na hana taswira nyingine ingawaje huificha
Wasifu wake huvuma kwani vigezo vingi huvikamilisha bayana
Mabinti humpapatikia na tamaa yao huwa ndiyo suluba yao
Player ana...
Dubai trip = Kiwanja cha Eka 1 hapo Boko
1 Brazilian Wigi = Mifuko 68 ya
Simenti
1 Handbag ya Jimmy Cho = 10
Tankers of water
1 Quality High Heel shoe = 1 Trailer of sand
1 BB Torch = 1500 Blocks...
Hiv MUNGU acngeweka sheria kwamba Mwanaume/mwanamke utakayekutana nae na kupendana ndo awe huyo huyo mume/mke aliyekupangia ili kuondoa huu uongo uongo uliotawala sahv,mtu anapenda waschana zaid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.