Kuna jamaa yangu kanifuata kuomba ushauri juu ya tabia ya mke wake, naomba busara zenu wadau.
ishu ni kwamba toka mke wake apate ujauzito, nyumba imewaka moto!
shem amekuwa anamgomea mara nyingine...
Wana JF.
Katika matembezi yangu ya weekend nilikwenda sehemu moja kwa mapumziko kwenye ufukwe wa bahari.
Wakati nimekaa pembeni yangu walikuwepo kina dada kama watano wakipiga story zao...
Zaidi ya kuwa matiti ni kiungo katika mwili wa mwanamke, pia matiti ni alama au kitambulisho cha mwanamke kuonesha yeye ni mama, huonesha mapenzi/upendo, ulinzi, nguvu, upendo, kukomaa kwa...
Nina uhakika wengi wetu (kama siyo wote) katika maisha, tulishapenda, kupendwa, kuacha na kuachwa vile vile. Kwa hiyo katika mahusiano tunajua wazi kwamba penzi huzaliwa, hustawi na wakati ukifika...
Kale kadada ambako kaliniboa nilikakimbia baada ya kunipiga mzinga wa hela ya saluni mara baada ya kukatoa lunch, eti kanaanza kutaka nikutane nako tena!
Kanaanza hivi....
Samahani kaka, unajua...
Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama...
kila jamii ina taratibu zake na mifumo yake ya jinsi ya kuishi. Haya yafuatayo ni mambo ambayo nadhani kwamba yanagawanyika katika jamii ni yepi ya kufanywa na wanaume au wanawake na yepi ni...
A Malawi newspaper the Nyasa Times is reporting that a man died in the commercial city of Blantyre after engaging "himself beyond the limit of sexual frenzy." Fletcher Jere died ‘riding' a...
Hari zenu wakuu, hii ishu mwenzenu inanipa tabu kidogo yani nashindwa kuzoea na kutoishangaa,kuna mbaba mtu mzima tu mwenye familia yani akirudi tu kutoka kazin au akiwa kwake mda wote anakuwa...
Mi ninampenzi wangu 2napendana sana,kila niendapo kwake nikifika tu ananiambia naomba cm zako na kuanza kupekua,hapo mwanzo nilisevu jina lake la kawaida na baada ya kupekua akabadilisha lile jina...
Tunajua wote kwamba, hutokea wanawake wakateswa sana kwenye uhusiano wao wa kindoa au kimapenzi na bado wakaendelea kukaa tu kwenye uhusiano huo. Inafikia hadi mtu anakufa huku akiona kabisa. Watu...
@Arusha, baba mngoni, mama mchagga.
Sio kwamba nawatukana kaka zangu ila nimegundua wanaume wooooote ni malaya
Ukimsikia mwanaume anauponda umalaya basi jua kuna mambo haya:
1.Finencial Statment...
Jirani na rafiki yangu amenieleza kuwa yeye na mke wake wanapendana na huwa pia anampa support kwa mambo yote including ku support watoto. Yeye ni mwanaume mwajibikaji kwa watoto na mkewe. Wote...
Mi sipendi kabisa..Unakutana na mdada, mnafahamiana kidogo, mnapeana namba za simu, mnapanga one day mkutane mpate lunch, mnakutana na mnapata lunch, then mnapanga one day mkutane kufumua amri ya...
habar za wkend wadau!leo katika pitapita kwenye mablog nikaona maneno matamu matamu yakanivutia kuyaweka hapa JF!Samahanin kama yalishakwishwa wekwa hapa JF!bas tujimvuzishe.
Kila mwanaume...
Hivi ni kwa nini hili suala la "tuendelee kuwa marafiki wa kawaida tu" kwenye mapenzi huwa haliwezekani.,ni kwa nini hata pale wapenzi wanapoachana by mutual consent huwa na ile element ya...
Hii print screen hapa chini ni moja ya profiles za mdada anayetafuta mtu wa kucheat naye. Kuna watu wanasemaga eti wanawake hawachitigi bila sababu - sijui hata maana yake ni nini. Hapo chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.