Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwanzo.2:24 inasema, "Kwahiyo mwanamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" Ukiangalia (Zaburi.45:10-11) anasema, "Sikia binti utazame utege sikio...
15 Reactions
395 Replies
21K Views
Ni kweli???
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Habari za mchana kina kaka /dada /mama/baba Just wanna know y'all opinions! There is a lot of pressure mostly especially Tanzania or african women to get married before they turn 25 age . Is too...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
mkioana mpaka mtangazane kwa watu ili kila mtu ajue huyu wa fulan ili ujijue unafahamika,na uogope kutoka nje ya ndoa mpaka kwa kuiba sana,UMUHIMU WA NDOA NI UPI.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Those in a marriage have you ever asked urselves "why did u get married??" share your answers with us..
1 Reactions
111 Replies
7K Views
Mambo vp ndugu zanguni?hilo swali linasumbua kichwa changu hadi hivi napost...sasa nisaidieni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
eti jamani shemeji yeni anashindana mishahara na mie,got a new job na sasa napata mshahara zaidi yake ila inakuwa ishu kwake!yeye anataka awe ananizidi mshahara always
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Few months ago, I fell in love with a certain young lady. Our love lasted just for three months before I was fired in that relationship. The day the relationship ended is the day that we planned...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Wapendwa marafiki zangu wana jf, naombeni mnijuze haya mambo kwenye mapenzi yanakuaje ni hivi kuna wasichana wana wapenzi wao lakini wana mabuzi cha ajabu wanaweza kuwahendo wote na wapenzi wao...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Hii ni kuwakumbusha tu wale ambao bado wako wanagoogle jamani mke mwema mwenzeni nilikutana na dada mmoja wa exim enzi hizo zijui yuko wapi siku hizi mzuri anaumbo bashasha ilipofika siku ya...
0 Reactions
15 Replies
23K Views
wakuu, Kuna msicha kutoka Bhutan (Asia) nilikutana nae mwaka 2008 chuoni (India) nikiwa mwaka wa pili yeye ndio alikua anaanza wa kwanza. Tulifahamiana kupitia kwa rafiki yangu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu, kabla ya yote napenda kuwapongeza wana JF wote kwa mchango wenu ambao mmekuwa mnaotoa kupitia humu JF. Mimi tatizo langu kubwa linalonisumbua kifupi tu mi nikijana mwenye umri wa...
0 Reactions
72 Replies
16K Views
Kuna posti nimesoma huku ndani na ikanifanya niandike hii mada...kwa kifupi jamaa alikutana na mwanamke kwa siku moja akamtongoza na mapenzi akapewa...basi amekuja huku ndani anasema huyo mwanamke...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hebu tuchukulie kwamba, umeoa, na ndoa yenu ina miaka 6. Katika ndoa yenu mmebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye ndio anatimiza miaka 4. katika kipindi chote cha maisha yenu ya ndoa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Hivi wanaforun watu or most of tazanian TUNAELEWA MAANA YA SHERA NYEUPE SIKU YA HARUSI?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Fikiri zako fikira, ufikiri kila tendo, Fikiri lilo na dhara, ufikiri na Ia pendo, Fikiri lilo tohara, ufikiri na uvundo, Fikiri fikiri tendo, Ia amani na...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Za sahizi wanajamii. Ni siku nyingi sijajiunga nanyi lakini leo ninahitaji msaada wenu wa mawazo. Nina uhusiano wa mapenzi na msichana mmoja toka 2007. Ni muda mrefu sana lakini kinachonishangaza...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Ingekua wewe ungechukua uamuzi gani hapo?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ilifika siku ya kusafiri kwenda safari ya mbali kidogo ambapo gari hulazimika kuondoka alfajiri sana....! Ni kwa sababu hiyo nililazimika kuondoka nyumbani jioni nikalale guest karibu na kituo cha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naitaji msaada mkubwa sana, wa mawazo na saikolojia. Mimi nina mke nimezaa nae. Tangu tufunge ndoa ni miaka 4 sasa. yeye yuko Mkoani mimi niko chuoni Dar es Salaam kimasomo elimu ya juu...
1 Reactions
128 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…