Nimewahi kuwa na mpenzii ambaye nilimkuta akiwa bado kigoli katka mahusiano yetu niligundua alikuwa mwongo sana na kila kitu yeye ni mbishi sana ukimkataza kitu atakubali kuacha ila siku hiyo hiyo...
Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana...
Kutokana na malezi au mazoea au pengine tabia zilizo katika mila na desturi zetu, tumejikuta mara nyingi tukiwafanyia wapenzi, waume au wake zetu tabia ambazo kutokana na mazoea hayo tunadhani au...
One afternoon a husband arrived home with sadnews for his wife...
Husband: Wife, I just received a call, mother(mama) passed away. Shall we go
to town and get some necessities for the funeral...
Nina mpwa wangu ni kijana tu ana 40yrs alikuja kuomba msaada wa kwenda kufanyiwa operesheni ya Busha huko Kisarawe nasikia hospitali ile ni wataalam sana wa kupasua mabusha. Tumechangishana na...
mimi nimeoa jirani sana na nyumbani kwetu. tangu nimeoa sijawahi kulala ukweni kwa sababu ni mwendo wa dakika tu kutoka kwetu hadi ukweni. rafiiki yangu anasema kuwa kitendo cha kutolala na mke...
Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea...
Scramble for men goes to church
Published on 04/09/2011
By Sophie Khakasa(The Standard)
A pastors wife is currently bedridden after getting a thorough beating from her husband. The pastor...
Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia...
Habari za asubuhi wanajamii....katika pitapita zangu jana nilikutana na kioja kilichompata jamaa yangu hadi mimi nikabaki natoa macho.. Alikwenda na Girlfriend wake mahali kupata ile kitu...
Heshima mbele wana jamvi!. Hii ni true story na siyo tungo.
Ni mara chache sana huwa napita kwenye jukwaa hili la MMU....jukwaa la siasa ndiyo maskani yangu hasa.
Ila kutokana na issue ambayo...
Mwanaume anapohisi kuwa ni dhaifu katika kafanya mapenzi, yaani jogoo wake hawiki huwa anajitengenezea njia za kujitetea, ili kuonyesha kwamba yeye siyo dhaifu. Bila shaka hata wewe unayesoma hapa...
Watu wengi wanapozungumzia kuvunjika kwa ndoa au uhusiano, sababu zinazojitokeza sana au kutajwa ni zile za ulevi, kutoka nje ya ndoa, kipato, uchafu, na mengine ya aina hiyo, lakini wanasahau...
Salaam!..
Nilicheat na mdada mzuri na mwenye uelewa kwa vigezo vyangu anyway_na hii ilikua wiki iliyopita,...sasa juzi kanipigia cm nimpitie ofisini kwake(ana duka la vipodozi).tukaenda sehemu...
Wengi mnaweza kunishangaa labda hapa sio mahali pake au laa,
kiukweli toka nimeanza darasa la kwanza mpaka kuja kumaliza darasa la 14 sijawah kupata maana halisi au tafsiri sahihi ya MWIKO...
Wakubwa heshima mbele,
Hivi karibuni mchumba wangu alipata ujauzito bahati mbaya baada ya kutokea interuption kwenye normal cycle yake, na kwa kuwa hatujajiandaa kulea kwa sasa ikabidi twende...
unakuwa na mahusiano na m2, umemtembelea mara mbili anapoishi, den akikwambia amekumis still anataka uende kwake, ukimwambia twende sehemu nyingne hatak anataka kwake, sasa is he right ukikataa...