Jamani kuna kesi hapa nyumbani, dada wa kazi kajazwa mimba na mapacha wa hapa jirani. Tatizo ni kuwa haieleweki ni ya nani maana wote wamekiri wanahusika. Wametuacha na mshangao maana inaonekana...
just imagine unatoka kazini umechoka mkeo kasafiri umebaki na housegirl tu nyumbani na watoto wapo boarding unamkuta mtoto wako wa kazi nyumbani katika vazi hili jamani hapo inakuaje...
Nimeamini ukiwa na nyota ya punda shukrani ni MATEKE yapta wki mbili toka niachae na mpz wngu baada ya kuona dalili za kunichoka na nlipomweleza mambo yake aliniambia kuwa ana HISI ya kimapenzi na...
Ukiangalia kwa makini kwenye vidole vya wanandoa utagundua kuwa wanaume wengi hawapendelei kuvaa pete za ndoa, huku wanawake wengi wanapendelea kuvaa pete hizo unakuta anazo mbili ya uchumba na...
ninaye jirani yangu mahali ninapoishi kanijia na kisanga kilichomkuta,in short amekuta meseji za mapenzi kwenye simu ya mumewe na baada ya kufanya uchunguzi akagundua kuwa ni kweli mumewe alikuwa...
nimeoa mwanamke aliyeisha olewa zamani na akaachika, maelewano na masikilizano ndani ya nyumba mwanzo yalikuwa mazuri, ukorofi ukaanza ghafla, akashika mimba akaenda itoa kisha akadai imetoka...
Swali:-
Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae...
Nimejikuta nakumbuka enzi zangu za utoto..utundu...ukorofi na uchokozi kwa sana nikaona nishee na kakaz pamoja na dadaz zangu wa JeiEff....bila kukosa zenu!!!
Nakumbuka darasa la tano rafiki...
Kuna sehemu nilisoma maneno flani hivi mapenzi siku hizi ni kama magazeti
Haya maneno humanisha jinsi gani gazeti linavyotumika, sijui linaweza kusomwa na watu wangapi kwa siku. Lakini...
Mom came to visit her son Shelukindo for dinner...who lives with a
girl roommate Mamweta in a nearby residential area...
During the course of the meal, his mother couldn't help but notice...
Pastor; ifthere is anybody here that does not want this couple to be joined
together in holy matrimony, he or she should speak out now."
A man from the extreme of the church stood up and...
Nilikuwa offline kwa siku kadhaa hawa watu nimewamiss kweli. Wazima wote Nawapenda sana.
Baba_Enock
Finest
St. RR
Bigirita
GY
Asprin
Wise Lady
Smiles
Kimey
Dark City
Afrodenzi
First Lady
First...
Nina rafiki wa kike, si mchumba wala hatuna seroius kitu. Kinacho nishangaza kila tukiongea ataongea mambo magumu kidogo. mfano Nimelala uchi, nimebakiza chupi tuu, jamani hivihutu tu sentence...
Binafsi mimi ni mgeni jukwaa hili lakini katika pitapita zangu gp nimeikuta hii ikanikuna, hebu tuijadili:
Mambo kumi yanayoweza kufanya mwanaume akuache
Bila shaka u mzima wa afya mpendwa...
Goodmorning to you all......
Ni matumaini yangu kuwa nyote mpo salama.....nimewamiss kimtindo!
Mimi I have got one question - Is it appropriate for a lady to send a guy flowers on his...
Napendekeza tuandae JF Valentine's Day. Najua kuna wengi wamekutana kupitia forum hii na itakuwa fresh sana kuwaenzi waanzilishi wa jamvi hili kama tutakutana wapendanao wa JF na kufahamiana zaidi...
Mimi ni kijana mwenye elimu ya uzamili, na ninaf anyakazi katika benki. Sijaoa na siku zinazidi kwenda na ningependa kuwa na familia.
Kiumbile mimi ni mpana kiasi, sio menene. Nakunywa kidogo...
Love is the emotion of strong affection and personal attachment
Je unaweza ukafall for Kindness, Understanding, and Good Qualities without physical attraction ?
Now Since Physicall attraction...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.