Eti jamani ni kweli kwamba hakuna lov without a reason?eti unapenda/wa kwa sababu?! Eti unampenda m2 kwa sababu ni mweusi,mweupe,mrefu,mfupi yuko bright skul,ana fedha,gari,nyumba,kazi n.k? Manake...
Modernization" of Girls
1970 : Love me, but don't touch me.
1980: Touch me, but don't kiss me.
1990: Kiss me, but don't do anything more.
2000: Do everything, but don't tell anyone...
kuna jamaa mmoja nmekuwa nae kwa muda mrefu, ingawa ni kind of long distance relationship ivi. amekuwa akitaka tudo mara kwa mara ila nmemkatalia. cku moja nliamua kumwambia ukwel kwamba im still...
Eti wanajf ni kweli kwamba ukioa mwanamke ambaye mna almost the same level of education hasa degree holder heshima eti inakuwa low? Why? Na kwanini wanawake wengi ambao graduates wanakimbiwa na...
Can this be equivalent to the truth/, just go through it and comment:
Wife is like a TV - girlfriend is like a CELLPHONE
At home u watch TV, but when u go out u take ur CELLPHONE
No...
Ukimkuta mpenzi wako amesimama kiasarahasara na mtu wa jinsia tofauti, mara nyingi hujitetea ,,yule ni sister/braza angu,,Tunaheshimiana, hewezi kunitaka/kunitongoza.
Swali, je unapomtongozwa au...
Sijui ni mimi tu au ndio watu wameanza kunogewa na mahusiano ya mapenzi ambayo tunaweza kuyaita si ya kawaida. Nimefuatilia threads nyingi kwa wiki kadhaa sasa na nimekuta zenye kuvutia sana ni...
Maisha ya ndoa au mahusiano kwa ujumla ili yawe na maana ni lazima kuzingatia mambo kadha wa kadha. Nimekutana na watu wengi ambao kwa namna moja au vinginevyo, ndoa zao zina shida au kwa...
Jamani wanajamvi habari zenu. Hv nguvu za kiume zimekuwa tatizo namna hii. Nishasikia wadada wenzangu wengi wanalalamika khs waume/wapenzi wao kutokudndsha ipasavyo. Mie yamenikuta pia, mpenzi...
Mapenzi si pesa ingawa pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi.
Hivi mnapokuwa mnahonga pesa, nyumba, simu, magari etc huwa mmependa na unaonesha kuwa unajali au unafanya hivyo ili upewe utamu?
Wapendwa, nakwazika na hapa nimekuja kutafuta advice na vilevile kufunguliwa akili.
Nina mume, nikahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine yeye akabaki dar, nilikuwa niko tayari kuacha kazi ili mradi...
Jamaa mmoja alimuaga mke wake kuwa anatoka kwenda kununua chips. Mkewe alikuwa bafuni anaoga. Muda mfupi baada ya jamaa kutoka mkewe akasikia mlango unagongwa. Akawahi kwenda kufungua, kumbe...
wewe kaka uko na mkeo mmelala chumbani (kama kawaida yako uchi kabisa).pia unaishi na mdogo wako ambaye naye ana chumba chake cha kulala.Usiku huo mkeo alikufuma na meseji toka kwa mwanamke...
Naombeni ushauri. Napata kichefu chefu nikiona mbolea hata ya kuku kama siyo ya binadamu. Ila ya mpenzi wangu hata kushika ainipi tabu. Je huu ni ugojwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.