Good day all,
Nimejaribu kuwa mwanamke mwema kwa mme wangu , but on every little row we have, he leaves home for 5 days without coming back, when i call he doesnt pik up,neither does he calls. i...
Sio kwamba nina nia mbaya na ndoa za watu, bali baadhi ya wanaume sometimes wanapenda wawe out separately, ama na friends au kwa raha zao lakini bila kuharibu upendo na umuhimu wa mke na familia...
"USE THIS FOR EDUCATION ONLY,AM NOT RESPONSIBLE FOR ANY THING CONCERN THIS MATERIALS"
1.FUNGUWA BROWSER YAKO,MIMI NATUMIYA EXPLORE.
2.NENDA ANY LOGIN PAGE,NAOMBA LEO NITATUMIYA GMAIL...
Majuzi kuna mkenya mmoja alitengeneza katiba yake kuainisha ni jinsi gani mpangilio wa maamuzi na uwajibikaji vinavyopaswa kuwa ndani ya nyumba. Aliandaa hiyo katiba baada ya kusumbuliwa na...
Wakuu wote waume kwa wake humu ndani nimekuwa nikisikia tetesi ati kuna uwezo wa kuotea jinsia ya mtoto unayemtaka kwa kulenga tarehe fulani:A S-baby:! najua kuna wazoefu humu maana natakakufanya...
Siku hizi imekuwa ni kawaida kwa watu wanaoenda kuwapongeza akina mama waliojifungua kutoa SIFA ambazo mimi naona ni KASHFA. Kwa mfano kama ni mtoto wa kiume eti wanasema "umetuletea jambazi" na...
Kimfanyacho mwanamke kwenda kwa waganga wa kienyeji? Unakuta umekaa naye kwa muda mrefu tuu tena wachamungu ghafla anabadilika na kuanza kufanya masharti anayopewa na mganga wa kienyeji! Wakati...
Siku moja usiku nikiwa baa nilimsikia mtu mmoja akiwaaga wenzi kuwa anatakiwa afike nyumbani mapema kwani walishakubaliana na mwenza wake kuwa mda muafaka wa tendo la ndoa ni kabla ya kulala...
Wanandoa wameoana na wamefanikiwa kuwa na watoto wote wa kiume ama watoto wote wa kike. Inatokea kwamba wanandoa kuona familia yao hajakamilika pasipokuwa na watoto wa jinsia tofauti yaani wa kike...
kuna dada mmoja nimesoma naye, ana bwana wa Kikongo na huyo bwana naishi kwa huyo dada . Lakini huyu dada ameniambia hajafurahishwa na huyu bwana kukaa pale kwake ingawa alishajitambulisha kwa...
Jana rafiki yangu kanipigia simu kuniomba ushauri kuhusu kutokuelewana na mkewe wa ndoa kuhusu simu ya mkononi,jamaa ni mfanyakazi mwajiriwa na mama nimfanya biashara na biashara yenyewe ni jamaa...
Hivi ingekuwa wewe umekumbana na hii kitu ungefanyaje?
Nimeisoma hii nimeona niilete huku tuijadili! Iwapo utamkuta mwanao wa kiume au wa kike na hii kitu utachukua hatua gani?
MWANAMKE mmoja...
Imezoeleka kuwa wanandoa na watu walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi/mahaba huongozana kwenda kwenye sehemu mbali mbali, Harusini, Misibani, starehe na kushirikiana vitu kwa pamoja n.k. Je...
Nashuka basi stend hapo Mlandizi, nakutana na jamaa yangu kachafuka ile mbaya.
namuuliza nini tatizo anasikitika tu huku akisema kwa huzuni "demu wangu katolewa bikira hapo zahanati muda si mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.