Wapwaz na mabinamuz, weekend hii nimeona niwakumbuke kwa ujumbe huu kutoka kwa Jangalason, kwa wanandoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye ndoa siku za karibuni.
Kwa wale infidels wote nafikiri...
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.
A LITTLE OLD lady entered in her sons house and found a lad of four in sole possession, plating with his toy train.
"You don't know me," said the old lady, "but I'm your grandmother-on your...
anahitajiushauri
"Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32, ninafanya kazi hapa Dar es Salaam. sasa tatizo lililonileta hapa leo ni kwamba ningependa sana kuolewa na ninaomba Mungu anipe Mume mwema...
wana jf mtamsaidiaje huyu mdada.........??
Me ni msichana mwenye umri wa miaka 27 have been dating a man for about miaka minne now, my boy friend is very good looking and very attractive...
Leo usiku jirani yangu katoa kichapo cha nguvu kwa mwamamke wake (nyumba ndogo yake). Mwanamke kapiga mayowe kuwa jamani nisaidieni nakufa. kweli watu tukatoka mbio na tulipofika tukakuta mwanamke...
Yonni Barrios (50)
Huyu bwana alikuwa ni miongoni mwa wale wahanga wa Chile waliokwama mgodini kwa siku 69. Alipoopolewa kitu cha kwanza alienda kumbusu hawara yake badala ya mkewe aliyezaa...
Nina umri wa miaka 36 sasa, na jina langu halisi ni "FATAKI". Sasa kutokana na matangazo yanayotolewa na taasisi mbalimbali zinazohusika na haki za binadamu, ukimwi, nk, nimeshindwa kumpata...
Pamoja na wadau wa kupambana na vvu kuibidiisha jamii iepuke ngono zembe yaelekea kizazi hiki kina laana fulani mbona hakisikii la mkuu?
Tena hakiogopi kuvunjika guu? Kuna nini?
Kasi ya...
Hii imetokea Dar. Dada mmoja amekuwa akiuguliwa na mume wake ugonjwa ambao ilibidi afanyiwe operation (medium). Pamoja na kwamba operation ilikuwa successful mume aligundulika kuwa ana ngoma...
Jamani mimi nimekumbana na mengi lakini hili naomba ni share na wewe mwana jamii mwenzanagu!!Najua wote wake kwa waume kunakitu kitufanyacho tufurahi na sikingine!!ze needful is something...
Kwa mnaojua na evidence wapendwa nimejaribu kuuliza baadhi ya wapendwa na wachungaji kila mtu ana yake nikaonaa nipate ufafanuzi hapa jf nilinganishe na walionijuza...ni kosa gan walifanya leo hii...
Je umewahi kumega amri ya 6 na mbilikimo?? asee usiombe mie nimetwangana nae jana sikulala usiku kucha! Achana na mbegu fupi haichoki yaani acha tu! Wale Infe... jaribuni mtaniambia utamu wake
mtoto wakiume anabalee worldsex.com na wakike anavunja ungo facebook, hapo tunatengeneza bomo, social network zinapunguza real life experience kwani vijana wengi hukutana na wanawake wengi kwenye...
--una roho ya uzinzi??
--mkeo/mumeo kakuudhi??
--una laana ya kutoka nje ya ndoa kwenu??
--ukuwa umejiandaa kuoa/kuolewa sasa cha moto unakiona??
Goodmorning
najua na mengine mengi tu yawezekana...
Sijui ni huu uzee?
Hivi inakuwaje siku hizi (the last 15 years or so) unakuta binti wa miaka 15 -22 tayari maziwa yameshadondoka a.k.a saa 12?
Ni "climate change" pia au kuna "genetic...
wapo wanaotarajia watoto wengi
wapo wanategema wake wengi
wapo wanatarajia kuitwa mafisadi ingawa dalili za maisha aziwapi muelekeo
wapo wanaotarajia kumrithi Invis akistaafu na mengine mengi...
Demu wangu kila tukikwaruzana kidogo anasema mi sio mwanaume ila ni mwanaume suruali.
Tukitulia ananiomba msamaha na kusema kuwa alipitiwa na alikuwa hamaanishi kitu.
Hali hii imejitokeza zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.