Siku za karibuni watanzania tumeanza kusikia kuwa sasa dada zetu wanaweza kuongeza makario,maziwa na kubadili mionekano yao kwa kutumia madawa yanayopatikana kwenye maduka ya vipodozi.Swala hili...
Tafadhalini sikieni hiki kisa!!!!!!!!!!
Mama alikuwa na watoto watatu na hana MUME (single parent). Mtoto wa kwanza ni wa kiume na ana baba yake, wadogo wawili ni wa kike na wana baba yao. Mama...
Mtu ana mgeni wake,let say Garryson, Garryson ni mwenyeji,mgeni wake Let say ni Bakari. Sasa katika meza moja mwanzoni walikuwa Garryson na Bakari wakibadilishana mawazo ya hapa na pale, mara...
Habari zenu?
Kila napoangalia wanawake wengine wanapendwa na waume zao roho huwa inaniuma sana ,sio kwasababu naona wivu ila kwasababu nawaza kwanini isiwe mimi.
Nimeolewa mwaka wa kumi...
Nasikiliza Leo tena ya Cloude FM;
Mdau mmoja karipoti, eneo hilo limekuwa hatari sana kwa wawindaji; ukisimama tu na gari wanakuja mbio na kondom mkononi, na promo inapigwa kuna body...
Unkutana na msg kama hii kwenye sms ya mumeo "mchana kutwa hujanikohoa, hulali tuu.lol", maana yake ni nini kwa kweye kuelewa hio misemo. Advice please
Recently kumezuka tabia ya kuhalalisha sana kutoka na waume za watu au wake za watu. Tena bila aibu majigambo ya hao wagombea wenza ni kama, aah, yule anajuta kuoana na yule mwanamke/mwanaume, au...
Darling
Nadhani sasa ni miezi inayokaribiana na mwaka tangu tumeanza uhusiano wetu wa kimapenzi.Ndani yake tumefaidi mengi kutoka pande zote.Tumejifunza mengi. Tumefanya mengi.Tumeona mengi...
Majuzi majira ya saa 1 jioni hivi katika moja ya vitongoji vya jiji la Dar,jamaa mmoja alipata mkong'oto wa nguvu.Mambo yalikuwa hivi: Jamaa huyo alikuwa amezaa na binti mmoja,kutokana na ukali wa...
Baba na mama wa mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 9 wa nchini Australia wametupwa rumande kwa kufanya mapenzi na mtoto wao huyo wakidai wanampa elimu na uzoefu wa mapenzi...
Ni hivi:
Jumamosi hii mdogo wangu atakuwa anaoa. Harusi itakuwa na bia za kutosha.
Jumapili mpwa wangu anapata komunyo ya kwanza. Kutakuwa na bia za kufa mtu.
Jumatatu ni mwisho wa mwezi...
Police Suspect Kenyan Dancer of Deliberately Spreading HIV in Finland
More men have come forward as possible victims of an exotic dancer who police suspect deliberately tried to spread HIV. Her...
jamani kuna wimbi la mageuzi limevamia jiji la dar
unakuta asilimia nyingi ya wanawake awavai kabisa vyu### vyao
na hivyo kuishia kuacha bambaataa ikicheza ndombolo bila nyimbo
kupigwa,...kama...
Eti kuna mikahawa na mahoteli jijini Dar amabayo hulipisha Dola Mia Saba kwa usiku mmoja......na lakunishangaza wanaostrahe pale na matajiri wetu hapa nchini..sio hata wazungu.Mie nawashuku...
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari ya Kimataifa
Picha za rais wa Afrika Kusini mwenye ndoa tano mpaka sasa, Jacob Zuma, zinazomuonesha ‘akidendeka' na mtalaka wa rais Mstaafu, Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.