Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

If your wife /Husband gets ready to go shopping. Whilst she is bathing, you decide to check in her purse how much she has taken for the shopping. Upon checking the amount, in another compartment...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kama unavyokumbuka kusali wakatyi wa kuamka na kulala wakati wa kula chakula je si vyema tukakumbuka kusali wakati tukimega mkate...huu ambo bwana ametuandalia wanandoa...kama mjuavyo yapo mapepo...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hii habari niliwahi kutumia na mmoja wa marafiki zangu, katika kudumisha urafiki wetu nimeona ni vyema na wewe nikakutumia upate kuona vituko vya walimwengu, hayya tambaa nayo. Jamaa watatu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waakati zoezi la utafutaji wa mamiss limeanza watakaolifkisha ama kuwakilisha tanzania miss word ..tumeanza kukumbushana tena kwa uchafu ama vituko ama uzinzi unaotendeka kwenye procedure za...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
haya ndio maelezo yake:- Habari zenu marafiki ? Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 kwasasa nina mtoto mmoja wa kike ambae nilizaa na mshenzi mmoja...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Nilikua na mpenzi wangu, baada ya kwenda round kadhaa, tulipitiwa na usingizi. Cha ajabu niliota nafanya mapenzi na demu mwingine na nikap*izi kabisa na kuchafua mashuka. Sasa wakuu hii ni tatizo...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Akimbia familia yake kwa kutekwa na binti wa kitanga...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
wAKUU leo nina hamu sana ya kupata nyama ya kuku ya kuchoma au samaki wa foil nikiwa na wana JF kama Kawa Geoff yuko fasta sana; lakini naomba leo tuwe wengi kidogo tushushie na fanta za baridi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Aliyeaga kwenda misa ya kwanza Kristo Mfalme akutwa akizini Send to a friend Sunday, 16 May 2010 20:09 0diggsdigg Daniel Mjema, Moshi MJI wa Moshi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SIJUI nifanyeje....... ........he is ma men for more than 6 years.........................TUMEKUWA PAMOJA..........and kusema ukweli wa mungu mi mwanamke mvumilivu na ye mwenyewe anasema tulikua...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwananchi, Tuesday, 18 May 2010 21:36 Anna Kinkande na Naomi Maeda, MSJ DUNIANI kuna mambo. Ukishangaa ya Mussa, utayaona ya firauni. Ndivyo unavyoweza kujisemea moyoni...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Alone you and I intertwine. Having refreshing conversations for the mind. As we stare, we both seek and hope to find real love purified..................
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Jamani wenye kujua kiswahili vyema embu nisaidien nini zinaa nini uzinzi.... Thx general ni dhambi
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Ivanov na Maria mbele ya daraja walilotaka kujiua Thursday, May 13, 2010 8:32 PM Walienda kwenye daraja kwa nia ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani juzi nilituma hela kwa mfumo wa simu, sasa katika kutuma kuna fomu nikajaza namba yangu na ninayemtumia. Kuna demu alikuwepo hapo aka-note ile namba, baada ya kutoka akanipigia kulikuwa na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
FROTTEURISM Nakala iliyopita tuliangalia maradhi yaitwayo Sexual sadism yaani mtu wa jinsia moja anapoona raha kuona mtu wa jinsia nyingine akidhalilika au kudhalilishwa kijinsia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu haya maneno ni yakweli au ni misemo tu?Kama ni ya kweli basi sredi ya jana ya Da Sophy inaweza toshelezwa na maneno haya. While you SCREAM at your woman, there's a man wishing he could...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani siku zote ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni jumapili nilikuwa naenda kanisani ghafla nikakumbuka nimesahau Tenzi na biblia nikajishauri bora nirudi hata nikichelewa nitaingia ibada ya...
0 Reactions
42 Replies
45K Views
Back
Top Bottom