Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

The best love to receive Is unconditional love Hold it close to your heart Because you can never get enough When you have been loved unconditionally No matter your faults or mistakes There's...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
That's a million dollar question! Dating your coworker or boss, someone you see at least five days a week, eight hours or more a day, why not? Well, that depends if dating your coworker will...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vijana wa kileo, wa siku hizi, wake kwa waume, kwanini hawaoani hadi wameonjana? Wengine ndio wananogewa hadi wanabeba mimba kabisa?
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Kaka yangu anaoa tarehe 24 April, bado wiki 1 ndoa ianze kutangazwa, wiki 1 moja iliyopita kapigiwa simu na binti 1 akajitambulisha kwake wanajuana waliwahi kuwa na uhusiano mwaka 2004 wakaachana...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwanamke Afungwa Jela ya Wanaume Kwa Miezi Sita Tuesday, March 23, 2010 3:15 AM Skendo limeikumba kitengo cha kurekebisha tabia cha Afrika Kusini ambapo mwanamke aliyakamatwa kwa makosa ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bi. Cynthia Shackelford akiwa na mbwa wakeTuesday, March 23, 2010 2:53 AM Mwanamke wa nchini Marekani aliyemfikisha mahakamani mwanamke aliyempora mumewe, ameshinda kesi aliyomfungulia mwanamke...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mke wangu naona ana wivu! Hivi karibuni ameweka pair moja ya mchuchumio wake matata sana ndani ya gari langu kwenye kiti cha mbele sehemu ya kuwekea miguu. (Muhimu: yeye pia ana gari lake lakini...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
When God created woman he was working late in the 6th day. An angel came and said.. "why sped so much time on that one?" And the Lord answered.. "Have you seen all the specifications I have...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Imagine you are just about to go into another sleep mode when the buzzing of the door bell awakens you. And when you open the door, there is a lady in front of you at a time when you least...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kuna dada mmoja wa Jf kanitumia ujumbe kusema hata wao pia wanacheki cheki washikaji. Haswa kifua. Kina dada kuna ukweli hapa na mkicheki, mnaangalia nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna msichana nilikuw ana mahusiano naye kwa kipindi cha kama mwaka mmoja. Kutokana na kushindwana tabia tukaachana mwezi wa kwanza. Sasa amepata habari kuwa nina mwanamke mwingine amekuwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake. Hawa...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Mara ya Pili... Fikiria wewe ni mwanamke ambaye baada ya kuishi na mwanaume kwa muda unaoujua wewe na kwa sababu unazozijua wewe mwanaume hayupo tena na wewe. Amekuacha na mtoto/watoto na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimetatizwa siku moja na inabidi niulize; hivi mtu anaweza kula huku amelala? Maana nasikia wengine wanaweza kukurupuka usingizini wakapika na kula na kurudi kulala! Wengine hata kukumbuka kuwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Father 'strangled his two children with internet cables after discovering wife had used online dating website' Last updated at 5:56 PM on 22nd March 2010 A jealous husband...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Auditing Hadi Chumbani! Kuna wakati mwanandoa mmoja anajikuta yupo ndani ya ganda la yai (eggshell) kwa maana kwamba anajikuta anakabiliana na mke au mume ambaye anadhibiti, anayeamulisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Memeth J akificha sura yake baada ya moto kwenye danguro alilokuwemoSunday, March 21, 2010 7:06 PM Moto uliozuka kwenye danguro la mashoga nchini Uswizi ulisababisha wateja wa danguro hilo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ukuni wangu! Isije kuwa ukubwa tu na ndani hakuna Risasi! Samahani mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 tatizo langu ni kwamba ukuni wangu hauwezi kusimama kwa muda hata dakika 3. Ukweli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimpe? Hupati kitu hadi ndoa kwanza! Kaka asante sana kwa blog hii na tunajifunza mambo mengi sana kuhusu ndoa na mahusiano. Mimi ni mdada ambaye kweli Natamani kuolewa hata hivyo mchumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Voyeurism ni maradhi ya kisaikolojia ambapo mwenye maradhi haya anakuwa na tabia ya kupenda kuangalia watu wasio na nguo. Mtu mwenye maradhi haya huitwa kitaalamu Voyeur (inasomwa vouya). Kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…