Wakuu kuna suala moja jana litutatiza wakati tunapata moja baridi moja moto huku mkuu wa meza akiwa sebuleni huku akisindikizwa na ndizi ya mzuzu iliyorotiwa.
Mjadala wenyewe unasema 'Utamsamehe...
Utasikia mtu anasema "mwanamke yule mzuri" lakini unaweza usiuone huo uzuri anaousifia. Hivi uzuri wa mwanamke ni nini? Vigezo vipi mwanamke awe navyo ili wengi wamuone mzuri?
I am Still thinking aloud in my honeymoon!...
Baada ya kujadili sana biashara za break-ups in nowadays marriages,i decided to go back to the roots...!
Kuna aina mbili za ndoa ambazo ni BASICS...
Je watu wana tilia maanani wanacho kiapa kanisani? Je wanajua wana apia nini? Maana una kuta mtu ana kula kiapo cha ndoa lakini anakuja kufanya opposite. Mtu ana sema kwenye shida na raha lakini...
Hapa ndugu zangu naomba kuuliza kuwa ni nani aliyekufundisha kufanya mapenzi?Maana nimeshasikia watu wanalalamika,ooh mara demu wangu hajui mapenzi,oooh mara flani anajua mavituuz,mara yule...
Don't ever lie to us, we alwayz find out.
We don't enjoy talking dirty as much as much as you enjoy listening
Don't say you understand when you don't
Girls are pretty, but yours is the...
(source unknown; I don't know how genuine the pictures actually are.)
A reminder to those who are on facebook not to give too much of your personal details!!
The girl in the picture posted...
Vijana wengi ambao wanapendana leo mapenzi yao hayadumu kiasi cha kubatizwa jina la utamu wa bazoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu...
Wakuu wenye utaalamu katika fani ya tiba nisaidieni hapa.
Nimeongea na rafiki yangu aliyeko Tz kaniambia kuwa last week kaachana na mkewe baada ya kumfumania akifanya ngono na KAKA yake. Ndiyo...
Hi everyone. nimekua nikipitia JF kila siku, kwa kweli nafurahia kuwa kuna ufumbuzi wa matatizo mengi sasa wajameni hebu saidia hii rafiki yangu.
NI MWAKA NA MIEZI KADHAA TANGU WAMEFUNGA...
Italian Pregnancy
An 18 year-old Italian girl tells her Mom that she has missed her period for 2 months. Very worried, the mother goes to the drugstore and buys a pregnancy...
:DOn the first day, God created the dog and said, "Sit all day by the door of your house and bark at anyone who comes in or walks past. For this, I will give you a life span of twenty years."...
If you think you're fat, you probably are. Don't ask us.
Birthdays, Valentines, and Anniversaries are not quests to see if he can find the perfect present, again!
If you ask a question you...
Don't ever lie to us, we alwayz find out.
We don't enjoy talking dirty as much as much as you enjoy listening
Don't say you understand when you don't
Girls are pretty, but yours is the...
WanaJF, kwanza kabisa ili nisiwe plagiarist, ningependa kusema kwamba thread hii nimeianzisha kutokana na thread ya ile ndoa ya kijana wa 25 anamuoa bibi wa miaka 56 huko Kenya.
Nimeona maoni...
mimi ni mdau niliyomaliza kidato cha sita ,Azania high school mwaka 1997,sasa naomba angalau wale wanafunzi tuliomaliza mwaka huo tutafutane katika dunia hii ya utandawazi.Tuweze kukaa pamoja hata...