Hivi sisi baadhi ya kina dada wanamatatizo gani? Wewe unafahamu vizuri kuwa jamaa ni mume wa mtu na bado unawatangazia watu kwamba atamuacha akuowe wewe. Unauhakika gani kwamba atamuacha mke wake...
Wakuu, juzi katika vikao vyetu vya pombe tulikumbana na hoja moja iliyokuwa moto sana hasa kwa akina mamsapu!!!
Hoja yenyewe inahusu kupima DNA watoto wetu wanapozaliwa; mimi nilitetea kwa hoja...
Wakuu habari zenu!
Hili jambo limekuwa likinitatiza sana tena sana...Utakuta binti au mwanamke aliyeolewa anamwamkia mume wake eti kwakuwa mwaume ni mkubwa kiumri kuliko mkewe,mimi hii sielewi...
A woman came home from work late, tired and irritated, to find her
5-year old son waiting for her at the door.
SON: 'Mummy, may I ask you a question?'
MUM: 'Yeah sure, what it is?' replied the...
Hizi n dizo tabia za wasichana ambazo sipendi kabisa:
kuamka usiku na kuanza kupekua simu yangu
msichana mwenye gubu
msichana ambaye anajisafisha sana kwa nje huku hajakumbuka kutandika kitanda...
Hey Jf Members!
The 2010 Valentine Day is here with us! just less than 5 days to count!!!
I gues most of you have got their best way to commemorate the day!
Can we just share some of the Best way...
Niko mbali, ila huwa nafurahi sana nikiona haya ma njonjo kwenye sherehe za ndoa za kibongo (nyumbani) hasa utamandui:
http://www.youtube.com/watch?v=pWGbRyGwbxI&feature=related...
John Edwards has proposed to his mistress whom he also has a baby with. Kumbe nyumba ndogo inaweza geuka kuwa nyumba kubwa? Haya tunayosema kila siku, jamani kaka zetu...
Wakuu, asalaam aleykum
Wikendi nilikwenda kwenye shughuli moja safi sana.... sasa katika shughuli kuna jamaa wageni wa sherehe walisimama kujitambulisha... they looked very beautiful together na...
Hey wanajamii.
Mimi ni msichana mwenye Umri wa miaka 28.
Mhasibu katika shirika moja lisilo la kiserikali hapa Tanzania.
mshahara sio mkubwa sana lakini unakidhi mahitaji yangu.
ninaishi sinza...
Jana nilikuwa naangalia movie moja inaitwa A diary of a tired black man, niliipenda na ikanifikirisha sana. inaelezea jinsi african-american women wanavyoharibu relationship zao kwa ajili tu ya...
Waungwana
Nimesoma sana post za hili jukwaa la mapenzi kiasi kwamba napata kwamba ni rahisi sana kwa wanajamvi kufikia hisia za mapenzi!!!
Yaani jana wakati napitia thread humu, i definitely...
Naomba maana halisi ya neno hili na jinsi linavyotumika,Kwa mfano asubuhi hii nimesikia kutoka Redio moja kuwa mtu mmoja huko Rombo Mkooani Kilimanjaro amejiua na kumua mkewe...
Hello wana jamii, sio masihara jamani hapa najua wote ni watu wazima na wenye akili timamu.
Wasifu wangu.
Jinsia-Kike
Umri-29
Elimu-ya chuo naamanisha graduate
Rangi-kahawa
umbo-No 8 mnene...
Wakuu...
siku za karibuni nimeona rafiki zangu wawili wakivunja ndoa zao baada ya kutoswa na wake zao, hao wadada ni wa shoka, elimu A, na kazi walizopata ni za kimataifa
Cha kushangaza mmoja...
Wapwazz na Binamuz salam ziwafikie
Tumebaki na takribani siku 5 kijana Geoff akafunge pingu za maisha (si pingu za Jerry Muro lakini msinisome vibaya).
Plan imekaaje??? mi sielewi tena Geoff...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.