Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kila hatua ya kukua kwa mwanadamu inaendana na kukutana au kutokutana na mambo fulani katika hii dunia. Ukizaliwa, siku ya kwanza (hujitambui kabisa) lakini watu watakuja kukuona na kujaribu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watoto wa nje ya ndoa hawana haki kisheria Imeandikwa na Basil Msongo, Dodoma; Tarehe: 29th January 2010 Habari Leo HAKUNA sheria inayotoa haki kwa watoto wanaozaliwa nje ya ndoa, Bunge...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina GF wangu,tuna umri wa miaka karibia sita hv ndani ya uhusiano wetu! Lkn natamani saana kumuoa ila moyo unakuwa mzito kwenda kujitambulisha kwa ndugu zake hata kwa wazazi wake,lkn...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Siku yangu ya leo imeharibiwa na story mbili kutoka kwa FL1 na Babra ambazo zote zinahusisha simu ya mkononi. Nimekwazika sana kwa hivyo vitendo vya hao wanaume. Kwa hiyo nimeonelea niandike...
0 Reactions
112 Replies
12K Views
  • Closed
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wanaume walioa siku hizi wanapowatangoza wanawake huanza kuwaponda wake zao kwa kudai kuwa wake zao ni washamba,hawana mvuto...mara mwingine utasikia mara...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
The most important sexual organ is the brain!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye...
0 Reactions
344 Replies
25K Views
Jamaa ni mtanzania mwenye asili ya kichanga, nilifahamiana nae kwa kuwa mwanamke aliyeoa twatoka mkoa mmoja na mimi (lakini si uchagani) na tulikuwa tukifanya kazi ofisi moja na ndipo jamaa...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
i Gazeti lenye alama A kwa habari za uchunguzi...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Was it fare for JZ..What about our own JK??? =========================================================== By Paul Armstrong, CNN January 28, 2010 -- Updated 1925 GMT (0325 HKT) Davos...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu Mimi huwa si mpenzi wa Udakus but kichwa cha habari kilinishawishi ...................... Hivi ni wapi tunapoelekea watanzania wenzangu? Siyo siri tena, akiangua kilio nyumbani...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
You mean a lots to me and my beatiful wapwaaz clan, You mean a lots to me and my crazy project 13/02/2010 You mean a lots to me and my jamiiforums members The more candles, the bigger the...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Jemeni kuna nyimbo moja ya Msondo Ngoma aloimba Tx William, Nadhani wengi wenu humu mtakua mnaijua, inayosema.. "Wanaume tumeumbwa mateso! mateso!...kuhangaika...na kupata shida sana...." Hii...
0 Reactions
95 Replies
10K Views
wapwazzz, hii ni sredi maalum kwa yale matukio yote yatakayojiri kabla na baada ya project ya 13 february 2010, u know wat m saying???. -je mpwazz, unampokea ........... kua mkeo kwa shida na raha...
0 Reactions
371 Replies
23K Views
Wanamalizana Kabla! SWALI: Habari kaka Mbilinyi! Naomba kuelewa nimesoma blogs mbalimbali kuhusu wedding gown, hivi kuvaa nyeupe ni kweli ina maana bibi harusi ni bikira? Kama kweli mbona...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wa aina hii.... Kimbia Nyumba ikijengwa kwa msingi imara huweza kusisimama kila aina ya dhoruba, hata suala la mahusiano ni kitu kilekile ukijichanganya wakati wa kutafuta mchumba utaishia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rafiki yangu mmoja kanijia jana akiwa mwingi wa mawazo na majonzi tele Kisa nini..Ni mwaka wa tatu sasa ameolewa hana mtoto ,Mama mkwe kapiga simu saa tano usiku kwa mwanae wakiwa wamelala...
0 Reactions
82 Replies
8K Views
Je ni vizuri kusubiri hadi wote wawili muwe katika utayari wa kuanza maisha ya ndoa na mkubaliane au ni vizuri kulazimishana kwamba "ni lazima unioe au tuachane"? Je ndoa ya kupeana ultimatum na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Gazeti ‘Very Classic’ kwa habari za kufichua maovu ya chini ya zulia, Risasi Jumatano, lipo kamili kuanika kila kitu, jinsi mtego ulivyoandaliwa mpaka fumanizi ambalo lilichukua nafasi kwenye...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Jamani hii habari kwamba mabinti wa Tanga ivi vile ni kweli?? Wadau walotest variety pliz tusaidieni tujue..je nanii zao ndo tamu au mautundu ndo wako juu but bucha ni zilezile?? I mean hata akiwa...
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…