Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hodi :rolleyes:
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanajf mwenzenu nikiwa katika maeneo ya 6x6 kuna vijimambo huwa vinanikera sana kiasi hufikia hatua ya kupoteza hata appetite ya kupiga mechi. Nikikutana na msichana au mwanamke mwenye kaharufu ka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Singependa kuchafua jamvi, kuna mwana JF anayejitambulisha kwa jina tumizi la "BWABWA". Aliingia humu tarehe 20 Jan 2010, 10:17 PM kwa stahili hii: "BWABWA: Hamjambo Mabibi na Mabwana? Kuanzia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Napenda kuwapongeza akina dada na kina mama kwa moyo wenu wa uvumilivu katika Jahazi la mahaba kwa kuwa na mioyo yenu ya kusamehe na kupiga moyo konde ndio maana mahusiano mengi yanayumba lakini...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Jamani umalaya umeshamiri sana katika miji mikubwa ya nchi za afrika mashariki. Hivi hii imekuwa ni biashara katika soko huri? Hivi ni nini sababu ya biashara hii ya umalaya? KENYA. UGANDA, na...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Sijui hili niite ni tatizo au vipi lakini kuna baadhi ya washikaji zangu huwa wanasema kuwa wanapata mzuka sana kwa wanawake wasionyoa nywele za kwapa au pubic hair, hii imekaaje?,hao wanaonyoa...
0 Reactions
53 Replies
16K Views
Wanajf mwenzenu nikiwa katika maeneo ya 6x6 kuna vijimambo huwa vinanikera sana kiasi hufikia hatua ya kupoteza hata appetite ya kupiga mechi. Nikikutana na msichana au mwanamke mwenye kaharufu ka...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
http://www.youtube.com/watch?v=EDNSybUN1w4 Hii kali!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Hivi ukipata majibu kama haya what do you do????? Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi? Jibu: Nipo Sms: Yaani nimekutafuta kweli...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
Sikia hii. Mfungwa mmoja alitoroka jela baada ya kukaa miaka 15, katika kukimbiakimbia akajikuta anaingia nyumba moja na kuwakuta mtu na demu wake wamelala kitandani wakiwa uchi. Akamtoa bwana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanaume wa nchini Marekani ambaye alizaliwa kama mwanamke kabla ya kubadili jinsia yake kuwa mwanaume anatarajia kujifungua mtoto wa kiume mwezi ujao.</SPAN> Scott Moore mwanaume wa nchini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF! Nimekuwa najiuliza sana kwanini kiwango cha ukimwi kiko juu zaidi africa kuliko nchi zilizoendelea. Inamaana sisi watu weusi ndio tunafanya sana ngono? Vile vile ata USA...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Wana JF nawasalimu!! Katika taratibu za kuoa kuna za kidini, kikabila na kiserikali lakini ninachozungumzia hapa ukizingatia faida na hasara, unapendekeza ipi na kwanini, ndoa ya mume mmoja/mke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
May be I'm just hopeless in love or may be I'm just too deep in love as I seem not to care much about Valentine's day, but only bemused as to why should I. Really, if I have to show that I love...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Eti mke kwenda masomoni na mume kubaki analea watoto, ni hujuma au! Mpenzi msomaji, lipo jambo moja ambalo nimelinasa likilalamikiwa na baadhi ya kinababa. Linahusu wimbi la kinamama...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
X-PIN,PAKAJIMMY,NGULI,CARMEL,BARBARITA,KAIZER,FL1,NEXT LEVEL,GKUNDI................!i am officially falling on your heads...!and this thread is for you guys. YOU SHOULD HAVE TOLD ME...
0 Reactions
166 Replies
12K Views
Muda mfupi uliopita, "supamaketi maalum ya mapenzi" ilizinduliwa katika mtaa wenye maduka mengi mjini Beijing,. Supamaketi hiyo haiuzi matunda wala vyakula na matumizi ya kila siku, kinachouzwa ni...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Wednesday, November 11, 2009 Mwanamke wa nchini Uingereza ambaye alikuwa akiwatesa majirani kwa sauti zake kali za kimahaba wakati akijamiiana na mumewe ameshindwa kesi ya rufaa kupinga kupigwa...
0 Reactions
26 Replies
16K Views
Wana JF na wazazi wote wenye hali kama hiyo kwenye kichwa cha habari, Kuna kijana mmoja amebahatika kumpata mchumba mzuri sana na wanaelewana sana na wanapendana kweli kweli. Sasa wakakubaliana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…