Kabla ya kukiri Hadi kifo kitakapotutengenisha au hata kabla ya kukubali kuvishwa pete ya engagement kuna maswali muhimu sana (hard questions) ambayo unahitaji kujiuliza na kwa njia hiyo unaweza...
Katika utafiti wangu inaonyesha wanyama wengi wanatoa harufu fulani kuvutia wapenzi.
Nilikuwa najiuliza ni kitu gani binadamu wa mwanzo walikuwa wanatumia katika kuvutia mapenzi. Baada ya...
Friday, September 11, 2009 4:24 AM
Jamaa mmoja wa nchini Marekani ili kukwepa manyanyaso na masimango ya mke wake aliamua kuiteka benki na kuwasubiria polisi waje...
To love, honour and obey in Mali
BBC News Online
By Martin Vogl
BBC News, Bamako
A new family law in Mali is causing a furore, partly because it no longer stipulates that wives have...
Wana jamii mimi leo nimeona niwapatie zawadi ya wikiendi wale walio katika unyumba.Japo zawadi yenyewe kiduchu lakini nafikiri itawafaa.
kuna tatizo katika jamii za wana ndoa au hata wale walio...
Naibu waziri wa Afya Aisha kigoda amezima minongono ya muda mrefu ,baada ya kuamua kuweka wazi Bungeni kuwa waziri wa Nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano mhe Seif khatib ndiye barafu wa moyo...
Jinsi ya kuzuia kuzozana kusichafue (contaminate) ndoa yako
Kuzozana mara kwa mara katika ndoa huweza kusababisha contamination ya mahusiano hasa ndoa.
Kama wewe na mwenzi wako mmejikuta mara kwa...
Now that kuna kusingiziana sana kwamba mtu kabakwa, inapendekezwa
contract hii, isainiwe kabla ya watu kufanya tendo la ndoa!
CONSENT FORM SIGNED BEFORE SEXUAL INTERCOURSE
This certifies that...
karibu kila neno tunalotumia siku hizi
linamaanisha pia sex
wakati mwingine huwa najiuliza kwa nini??????
au labda jamii inawaza sana sex??????
kula.........analiwa,anamla...
Couples should consider sleeping apart for the good of their health, an expert has said.
Expert advocates sleeping apart
Getting a decent night's sleep is more important than cosying up...
Friday, September 04, 2009
Ni mwanafunzi mmoja tu wa kike katika shule moja ya sekondari nchini Kenya amebaki darasani baada ya wanafunzi wenzake wote 24 wasichana...
Umekuwa na ugomvi wa muda mrefu na Demu wako ( Mchumba) ambao hata ukijaribu kusuruhisha lakini huoni dalili ya mtu kurudi kwenye mood yake ya zamani, so siku 1 mzee uko ofisini unapokea sms...
Seriously, unapokuwa kwenye umri fulani unakuwa unatamani kujaribu zali mbalimbali. Katika wish list yangu walikuwemo:
-Sista wa Roman katoliki
-Kiwete
-Polisi
-Mlevi wa mbege
-Mbunge
-Mhindi...
Wakuu nimepata hiki kisa nikasema ngoja tuone baadhi ya wanafamilia wanavyodanganyana!!!!
Mambo ya simu za mkononi: Utafanyaninikamaumeitwakusawazisha ?
One Friday morning, John woke up hurriedly...
Mi nadhani imefika wakati sasa na mabinti kuwavisha watarajiwa wao pete za uchumba kama wao wavishwavyo. Hii pia itasaidia kumwepusha mchumba mume na mabinti. Tumeona kichen pati za kiume...
Mkazi wa Vingunguti Sokoine Mtunda, ameuawa na wananchi wenye hasira kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Ilala, Faustine Shilogile, amesema tukio hilo...
Jamani hii nimeikuta kwenye Blog ya Dina Marios wa Clouds Fm.
Kuna dada mmoja ameolewa mwaka jana tena mke wa pili harusi ya kiislamu tumemchangia vizuri jamani kuanzia kitchen party,send...
One Friday morning, John woke up hurriedly and prepared for work. He worked in a busy institution and was expected early at work. His wife worked a distance from where her husbands office was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.