Wanawake ni spaghetti
Tofauti na wanaume ambao ni mfano wa box katka utendaji wao wanawake wao ni mfano wa sahani ya pasta (spaghetti)
Kama ukitazama vizuri sahani ya spaghetti utagundua...
habarini za sahizi ndugu wapenzi.....nimekuja kukumbushana tu jamani najua wako watakaohoji...lakini hata wale wanaoanguka dhambini kwa ajili ya uzinzi ni shetani hatuna budi kumkimbia na kuachana...
Kuwasha na Kuzima!
Kama kuzima, kuwasha nako ni simple!Turn off kwa mke kutoka kwa mume:
Mwanaume ambaye hana ufahamu wa kimapenzi.
Hajui ni nini na wapi kipi kinapatikana na kinafanywa vipi...
Karibu kila kona ninakopita naona wajawazito wengi mno kuliko waja wepesi. Sasa nimeanza kujiuliza kama ndio matatizo ya kiuchumi yamewafanya watu wawe nyumbani muda mrefu na "kufarijiana" au ni...
Are these criterias can be measure of a Man?
1. His ability to make and conserve money.
2. The cost, style and age of his car (This is my favorite).
3. How much time he spent with his...
Imetokea mara kibao nikimtokea mnyange nataka kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi tu na sikumwoa nimekuwa napigwa vibuti kutokana na kuweka wazi dhamira yake kwa mrembo. Nilipo kaa na wadau...
Wakuu kukicha kuna matatizo yanayotokana na maamuzi ya kuolewa au kuoa.
Hivi kunafaida gani ya kuoa au kuolewa?ni kwa ajili ya kutimiza agano maandiko ya mungu?
Au twaowana kwa ajili ya kupata...
Habari wanajamvi
Kuna kitu kinaitwa ethics (what is right and what is not) na katika mapenzi/ mahusiano. Vile vitu ambavyo ni sawa kumfanyia mwenzi wako. Ethics katika ndoa involves how people...
...haya, ukiandika wosia je, ...utamuonyesha jinsi ulivyoigawanya mali?
Interesting...hivi are u supposed to share the details of your will na mkeo? and vice versa? ama kama mke anayo mali...
Cheating husband meets a sticky end after mistresses glue his privates to his belly
By Greig Box Turnbull 4/08/2009
Lovers: Wendy Sewell, Michelle Belliveau and Therese Ziemann
Things got a...
Kwa wale mlio Dar na wale ambao mngependa kushirikiana na mwenzetu...
Kuna mwenzetu (Sinkala) anatarajia kufunga ndoa mwezi huu.
Kwa wale ambao wangependa kushirikiana katika kuiwakilisha JF ama...
Wakuu ni saidieni ni wakati gani mahusiano yanakuwa muhimu sana katika mahusiano?
Je ni wakati wakutongoza/kutafutana?
Je ni wakati mumeshakuwa wapenzi tayari?
Je ni wakati mumeshakuwa wanandoa...
katika kuonge na baadhi ya wanawake mbali mbali wengi wao wanapenda wanaume machachari, ukiwa mpole wanakuita boring, usipowa cheat hata kidogo wana kuona **** na mwishowe wana kucheat wewe...
Wakuu hivi ni halali baada ya kuolewa ukachukuwa kila kitu ulichokuwa nacho nymbani kwenu na kilichokuwa mali yako na kukipeleka kwa makazi yako mapyaTofauti na zile zawadi ulizopewa kwenye...
Men fall in love through sex, women fall in sex through love
Hii ni signature kwenye profile ya Nyamayao kila nikiisoma huwa napata maswali yafuatayo
1, Je ni kweli mwanaume anaweza kumbeba tu...
My friends and I were having a gal talk abt men and sex. They are married wajua napata shule sio kutoka JF tu LOL;). sasa mmoja wao the hubby had been working in Sudan so they wd meet every 1 or 2...
Hii ishu imetokea live!
Nina majirani zangu ambao nyumba zetu zinatazamana hapa Uswahilini!
Kumetokea kituko cha mwaka ndani ya familia yao!
Kuna mabinti wawili wakubwa wa nyumba hiyo ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.