Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nina rafiki wa kaka yangu ambaye ana umri wa miaka 45 na ameoa na kubahatika kuwa na watoto wanne,wa kwanza ana miaka 18 kwasasa na wa mwisho ana mitano.Baada ya kupata hao watoto wote kwa pamoja...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
MWANAFUNZI mmoja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (Duce), ameuawa kwa kuchomwa kisu mara nne na mwanafunzi mwenzake kwa madai ya wivu wa mapenzi. Inadaiwa mwanafunzi huyo...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
kuna mantiki katika hili? Naona mmoja kasaini kuwa anashukuru Mungu kuwa mwanamke. mi nadhani ni ajali ya kibaiolojia tu kama ilivyo kwa imani ambayo ni matokeo ya kimazingira tu. umeshawahi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni mambo gani ya kujiepusha nayo mwanamke kumtendea mwanamme asijekumuacha. Bora kinga kuliko dawa...naombeni ushauri tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mlipooana tu sex ilikuwa hot, exciting na full speed! Na mlikuwa mnasemezana kwamba hata siku moja haitakuja kubadilika hata hivyo baada ya watoto kuzaliwa na majukumu kuongezeka hata bila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada wa kisheria na hata ushauri. Nataka kuoa mtoto mmoja wa Kiunguja ila wazazi wake na familia yake haitaki kwasababu mi natoka Bara na pia ngozi yangu nyeusi (huyo mtoto ni...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Jambo linalohuzunisha ni kwamba nusu ya mwanaume na mwanamke wanaoamua kuishi pamoja hushindwa kufikia hii hatua ambayo mateso, maumivu, uchungu na kuvumilia kote huanza kulipa. Asilimia kubwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani recently we had a very interesting discussion started by my dear sis Kelly. That thread prompted me to get thinking. What makes a perfect man/woman? what do most women look for in a man...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Women, sex and one night stands: an increasing trend Young women 'have more sexual partners' than men Young women are more promiscuous than men, according to a survey that claims the average...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau tusaidiane what are the do's and dont's ya mtu alie katika broken heart situation? Ni dillema kwa kweli!! But najua jamvi litatoa msaada wa kutosha hapa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba msaada Nina umri wa miaka 30 na, nina waifu an watoto wawili na nimekuwa mwaminifu katika ndoa yangu. Ila sasa naona shida kwani waifu hana hamu na tendo la ndoa kama zamani...na kila...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Salamu waheshimiwa na wachangia hoja katika JAMII FORUM na kwingineko. Kwa kifupi nategemea kumvisha mchumba wangu pete ya uchumba hivi karibu kwa hiyo naomba mnisaidie hizo aina/tendo hilo kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
...hivi, maneno yanayoropokwa na mwenza akiwa usingizini yanafaa kuchukuliwa kama true confession ama? ...Yaani, kabla usingizi haujakuchukua sawa sawa mara unamsikia mamsap au muzee muzima...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Hii kauli si ngeni masikioni mwenu. Mara nyingi hutamka wanawake. 'nilimpa kila alichotaka' hii kauli hutolewa ktk mapenzi. Nina hofu nayo kwani mwanamke akisema hivyo anamaanisha anampa/alimpa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
WHERE WERE YOU, WHEN BROTHERS USED TO WRITE LETTERS WITH DICTIONARIES *If you never received letters like these, you know nothing* Classic..... Dear Sugar Time and ability plus double...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
LIVING IN their own home with a loving husband and children is the ambition of almost all women though not all achieve this ambition. A new survey from America shows why women want this. The...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
LET'S TALK SEX: How do you rate yourself on the love scale? Today I have a tough question for you; how do you rate yourself as a lover on a scale of 1 to 10? Do I hear someone...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
The longest-living married couple in Britain have toasted to 81 years of marriage. Frank and Anita Milford tied the knot at Torpoint registry office in Cornwall on May 26, 1928, after meeting at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kweli jamani mbolea ipelekwe kwenye mashamba yasiyokuwa na rutuba ili nayo pia yaweze 'kutoa mazao bora'. Utakuta mtu anauwezo mkubwa kifedha anaoa au anaolewa na mtu mwenye uwezo pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mapenzi ni kujitoa muhanga sio vinginevyo. Kujitoa muhanga ni kuwa tayari kwa lolote, yani hata shida ya aina gani iwatokee wapenzi penzi halivunjiki ndio kwanza linaimarika. Pasipo kujitoa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom