...dah! hii nayo imekaaje? ni mapenzi haya pia?
A widow aged 69 who tried to murder her deaf, blind and bedridden mother in a mercy killing wept yesterday when she was given a suspended...
Salamu kwa wote.........
Jamani eti hizi open marriages za wenzetu wazungu je kuna uwezekano kuwa wanatekeleza ule msemo wetu wa Mapenzi ni maua popote huchanua? hata kwa mtu ambaye ameoa au...
walipokuwa wanakaribia kuoana, mwanamke alimuliza mchumbake(kwa wakati huo) kama ana watoto/mtoto nje ili awe analijua hilo na angependa wamchukue waishi pa1, mwanaume alisema ana 1 wa kiume...
Nakumbuka Dokta Remmy Ongara aliwahi kuimba:
"Mwanzo wa mapenzi ni tamu kama chungwa, katikati ni kama ndimu, mwisho wa mapenzi ni chungu kama shubiri"
Relationships nyingi ziwe ni ndoa au...
..." Besides every successful Man, there is a Goodwoman of Noble Character!"
Rais Jakaya Kikwete jana alitimiza miaka 20 ya ndoa yake na Salma Kikwete .
Sherehe hizo za kuadhimisha miaka hiyo...
...Kwanini wana ndoa hupendelea kitanda 6 " 6 (sita kwa sita),
iwapo adha zenyewe za kulala kitanda kimoja ni hizi;
...si bora kila mtu alale kitandani kwake, au kuoana maana yake ni kulala...
Za leo wana jf, jamani naombeni kuuliza, hivi ni kweli kisomo kinaweza kupelekea uelewano mbovu katika mahusiaono? Yani kama vile upeo wakuelewa na kutafakari mambo ukawa tofauti, mfano: Mke ana...
Source: BBC
Shopping sprees linked to periods
Women may be able to blame impulse buys and extravagant shopping on their time of the month, research suggests.
In the 10 days before their...
Don't wait until it's too late to tell someone how much you love, how much you care. Because when they're gone, no matter how loud you shout and cry, they won't hear you anymore.
Love isn't a...
Hivi yupo mwanamke yeyote hapa duniani ambaye amewahi kuolewa na maraisi wa nchi mbili tofauti kama huyu mama? Was just wondering what it would mean to any woman to 'get it on' with two different...
Katika kutafuta uhuru wa maisha yangu , kazi , mapenzi yangu na amani ya akili yangu
Niliacha kumbukumbu yako nyuma , moyoni kwangu ulikuwa umejaa sana kuliko pishi la wali , hukuwahi kuteleza...
I couldn't touch your face or kiss your lips
I couldn't even hold your hand
All we could do was type words accross a screen
It was almost as if we were in this imaginary land
We grew so...
This is one way to be seen as LIJALI MAN. It saved my marriage.
These days she is counting Hrs when I am late while she is waiting for It.
TRY IT BOYS and dont get back to me,I know what she...
Nauliza tu
Hivi ni kwa nini huwa ni ngumu kwa wanaume walio wengi kumsamehe mke pale anapomgundua kuwa anacheat ila kwake anataka asamehewe kama vile ni haki yake kusamehewa?
Je ni kweli...
Wapendwa am so confused and frustrated. I just want to know to what extent should we be open to our partners? Sizungumzii juu ya siri zetu sisi kama partners mfano una affair, ulipitiwa na shetani...
Kuna haya matangazo ya Bwana Fataki yanaelekea yanadhalilisha kuna lingine linasema unaweza kumnunulia kabinti chips na soda kazi kwisha na lile lingine fataki anaambiwa akimnunulia gagulo la...
To all my family and friends, here are a few simple but good tips to help us through life, now we just have to practice them J
Health:
1. Drink plenty of water.
2. Eat breakfast like a...
Katika jamii hii au iwe ni nchi yenye serikali yake, kuna mambo yafuatayo;
1. Hakuna kuoa wala kuolewa; mwanamke au mwanaume anaweza akatembea na anayemtaka ikiwa mmekubaliana. Mnaweza hata...
kwenu wana jf;habarini za mchana kwa waliomchana ;tumejitahidi kuona na kusaidia jinsi mtu anavotakiwa kuishi baada ya ndoa;tumeona watu wengi wanavyofanya sherehe ya harusi kubwaa ama ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.