Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli.
Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!!
Hawa...
Kuna "mchovu" mmoja siku ya birthday yangu kaniletea asali nusu lita na sh elfu 50. Hivi huyu ananionaje kwanza?
Nimevunja rasmi mahusiano kuanzia siku hiyo (nimempiga chini kwa kasi ya 5G)...
Bwana mdogo analalamika kuwa mke wake ni mpumbavu sana. Wakipishana kidogo anaenda Mpost Instagram anaomba ushauri. Au anaanza kuandika status za ajabu ajabu...
"Ama kweli nimeamini ndoa ndoano...
Wapenzi watazamaji , na mnaomchukia unique flower kipenzi changu kinasafiri Kiko hapa mswety I love u so much safari njema.💕❤️
My heart beat
My kindness
My unique flower my life my water .
Come...
Huyu jamaa serikali ingilieni Kati yupo magomeni mapipa mtaa wa dosi. Huyu dogo kila siku anapenzika na wanafunzi tena mpaka mwenyekiti wa serikali ya mtaa anajua, kila siku anabadilisha wanawake...
Wasalaaam
Naombeni ushauri jinsi ya kusolve hii inshu
Ipo hivi,
Kuna dada nakaa nae mtaa mmoja. She is pregnant. Sasa ametokea kunielewa sana kutokana na aina ya story tunazopiga, yaani Huwa...
Najua wengi wataonibishia lakini tukatae tukubali ndoa ndio chanzo kikuu cha matatizo ya binadamu, matatizo kama vile magojwa ya moyo, stress, afya ya akili, kisukali n.k, mengi yamewapata...
Habari wakuu wote ndani ya jukwaa hili la mahusiano na kwingineko pia, naimani wote mu wazima wa afya. Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye maada
Iko hivi, nina mpenzi wangu ambaye...
Mara nyingi tunapishana gesti na wake za matajiri hapa mjini! Na wanaowanyandua ni vijana wa kawaida kabisa kama boda boda au ma house boy wao!
Mnafeli wapi? Nyinyi matajiri? Wanyandueni wake...
Nimeandika uzi huu baada ya suala la Haji kutamalaki.
Ni hivi kuchapiwa mke most of the time huwaga ni laana ya familia, ukoo au hata kabila.
Ndio maana ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu kuhusu...
Habari zenu wapendwa,
Mwenzenu nina changamoto nipo kwenye ndoa miaka 13. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana tulikuwa marafiki wazuri ila baada ya kuhamia Dar mwaka 2015 kuanza maisha...
Kuna jamaa mmoja ni mzaliwa wa huko Kusini alikuwa anasomea mambo ya udaktari ktk chuo fulani cha private hapa hapa Dar.
Kama mjuavyo hulka za vijana vyuoni, jamaa mwishoni mwishoni anamaliza...
Nimeshangaa sana juu ya huu uchunguzi mpya uliofanyika na kukuta kwamba, kuna meseji zilitumwa kabla ya msaidizi wake Masanja kuamua kujitoa uhai. Meseji hizo zilitoka kwenye namba ya msaidizi...
Habari wakuu,
Kuna siku Moja usiku nikiwa kwa mamaJ akanambia mchana wa Jana Yake, binti yake anayeuza dukani kwake kaibiwa Simu yake (Samsung smart phone) kwenye mazingira ya kutatanisha sana...
Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela
Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu.
Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu
Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho.
Pole...
Wakuu
Nimekuwa na mpenzi wangu kwa zaidi miezi mitatu, katika mahusiano yetu tunaendana sana pia tumejiwekea malengo inshallah panapo majariwa tuoane
Tatizo ninalopitia na mimi kwangu naona ni...
Naam
Hii ni kwa wale wanaume au wanawake ambao wameshafanya mapenzi walau mara moja na kuendelea.
Najua wengine humu ni mafundi na wameshafanya mapenzi kwa mara zisizo na idadi. But cha kwanza...
Ni wiki sasa tangu nilione tabasamu lake, kilicho baki ni misonyo tu ndani ya nyumba.
Sababu kubwa ilio pelekea hiyo hali ni muvi ile ya bushmen (The gods must be crayz). Ilikua ni usiku...
Habarini natumaini muwazima.
Twende kwenye mada.
Ni ushawishi gani au kitu gani kilikufanya ukajikuta umefanya mapenzi Kwa mara ya kwanza na ulijisikiaje.
Kwa mimi ilitokea baada ya washikaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.