Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....
Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!
Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika...
Habari mwna JF! Tangazo ndio hilo!
Ukubwa wa Kiwanja ni mita 18X20
kipo kabuku umbali wa kilometa 1 toka barabara kuu iendayo dar- tanga!
bei 2. mil. (million mbili)
Sipo kabuku kwa sasa hivyo...
Wakuu habar zenu!!
nahitaji vijana watano (watatu wakike na boys wawili) wenye uwezo wa kiushawishi na wanaojiamini (wawe serious na wasilete usaniisanii).
kikubwa zaidi nawahitaji watakao andaa...
Amani kwenu,
Binafsi namshukuru Mungu ameendelea kunijaalia mafanikio makubwa katika hii biashara yangu ya vile vitanda vya moja kwa moja(majeneza)
Sasa nimekusanya kiasi cha pesa sh milioni 7...
NISSAN VANETTE INAUZWA..
NI TON 1,TANGIA ITOKE JAPAN HAIJAWAHI KUFANYA KAZI NGUMU...KUBEBA MIZIGO...ENGEN NA GEAR BOX IKO VIZURI SANA...
NI AUTOMATIC TRANSMISSION
BEI YAKE NI 9.5 MLN...KWA WALE...
Kwema humu?
Namtangazia Mtu biashara kama ifuatayo;
Gari Mitsubish iO (GDI) inauzwa,
Make - Mitsubish
Model - Pajero iO (GDI)
Year - 1999
Color - Silver
Engine Capacity - CC 1,830
Transmission -...
kwa wale wanahitaji kufanya forex trading waweza kujiunga kupitia link hiyo hapo chini
http://king.jombii.ifxworld.com/
Affiliate Code: GBSC
hapo utapata kila maelezo jinsi ya kuanza na vitu gani...
Ndugu zangu kwa yeyote anaehutaji kupendezesha ofisi au Nyumba yake kwa muonekano wa kiwallpaper anipm ili tuelekezane bei pamoja na gharama zote husika .
Tubadilikr kutoka kupiga Rangi kuta kuja...
Nahitaji kufanya biashara mizigo natoa Dubai kuja Dar mzoefu msaada.
Niweze pata clearing agent wa uhakika Na bei ziwe chini.je naweza safirisha kwa kilo!? Make sina uwezo wa kulipa cubic meter...
Habari za Leo Ndugu zangu!
Kuna Vifaa vya Stationery Vinauzwa kwa bei nafuu, Vifaa hivi vipo Morogoro Mjini.
Kwa sasa vimebaki vifuatavyo:-
1. Epson L220 Printer .. Tsh 370,000/-
2. Paper...
*Infinix note 3 (220k)
-used almost a month
-flash front and back camera (4mp + 13mp)
#
*Tecno cx (220)
-used almost a month
-flash front and back (16mp + 16mp)
#
*Nokia 105 single (35k)
-used...
Habari?
Kama kichwa kinavojipambanua mimi nalima bustani za zao la bamia lakini kikwetu kwetu nahisi napata faida kidogo ambapo kwa ndoo huwa 10,000/=
Naomba kama kuna sehemu inauzwa zaidi ya...
Tunakutangazia biashara yako katika page ya Instagram na Facebook kwa bei nafuu.
Kwa 50000 tu kwa wiki Tangazo lako linafikia zaidi ya watu 10000. Popote utakapo
Kwa mawasiliano 0620538738
steshenari ya bei chee buza kanisani
steshenari ya bei chee buza kanisani
wakazi wa maeneo ya buza kanisani tumewasogezea huduma
karibuni
‘GININGI MOJA BEI RAHISI STATIONARY’
PATA HUDUMA ZIFUATAZO...
Ndg, pole sana!! umetapeliwa sana, umedanganywa sana, umevunjwa moyo sana na umekatishwa tamaa. Sasa habari njema zimekuja kwako na tumaini lako limerejea.
Kutana na mafundi wa vifaa vyote vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.