Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari, Naomba kujua bei ya jumla ya mafuta kula, Madumu ya lita 20 Kwa Dar es salaam. Safi Royal Vking Korie Kama unauza kwa jumla inbox me plz
0 Reactions
3 Replies
3K Views
We are AGRO AFRIQUE COMPANY LIMITED located in TANZANIA. We are Producer and Supplier of Refined Sunflower and Palm Oil. Price per ton for Sunflower $1100 per MT Palm Oil $750 Per MT. We invite...
1 Reactions
1 Replies
351 Views
Mimi ni kijana mwenzenu mpambanaji najishughulisha na ufundi bomba majumbani na maofisini napatikana Mkoa wa Morogoro Mjini, popote ulipo ndani na nje ya Mkoa natoa huduma kwa mawasiliano 0687329591
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani natafuta nyumba ya kupanga ya master room na sebule, maeneo ya Kisutu au Upanga [emoji120][emoji120].
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Habari wakuu Kuna Room ya kupangisha Makulu- Oysterbay. SIFA 1. Room ni self contained ( choo ndani) 2. Nje ina sehemu ya kibaraza, unaweza pika nje kwa jiko la mkaa, pia unaweza hifadhi...
2 Reactions
19 Replies
832 Views
Ndugu wana JF mwaka 2014 ndio umeshaanza hivyo na Kama vijana tunaanza kusaka fursa. Nataka kujua kama kuna mtu anaifahamu biashara ya mlonge mti unaosifika kwa mengi. Je unapatikana wapi Kwa...
0 Reactions
390 Replies
134K Views
HABARINO👋 Huu 'mtambo' unavutia na hauna changamoto kubwa za kuumiza kichwa. Gari ipo katika Hali nzuri. Inapatikana Dar. SIFA: Toleo la 1994, Cc 2809, Engine 3L, Imetembea km.202,000. Siti...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kwa anae jua kuhusu hizi printer za Epson M2140 Naombeni msaada juu ya utendaji kazi wake. Bei nimeona ni reasonable ila speed yake na ubora wake ndio cjui na pia mwenye anajua printer ya chin ya...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari!!! naitwa sophy brown niko china natoka katika kamouni inaitwa travel of carman inajihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari makubwa kama vile scania,faw,shacman,na mengine mengi ,kwa bei...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
mahitaji ya Harddiski za Desktop unaweza wasiliana nami tupo Kariakoo, Dar es salaam
2 Reactions
3 Replies
411 Views
habar wana jamvi, kwa mwenye kujua au mkaz wa eneo tajwa hapo juu naomba msaada kama kuna mashamba pori yanauzwa kwa bei ya hali sasa (reasonable price) anifaamishe maeneo hayao liwe linafaa kwa...
0 Reactions
42 Replies
11K Views
Iwe complete Ram 500 4 gb Bajeti 200,000 Naomba kuwasilisha
2 Reactions
2 Replies
294 Views
Blogger blog Iko mezani nauza. Bei ni Laki 2 , ukinunua nakupa na channel yake ya Telegram.Blog hii hapa . Nicheki DM
1 Reactions
2 Replies
817 Views
Habari wana jukwaa..., Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale...
2 Reactions
67 Replies
14K Views
MJ maziwa jumla tuna uzoefu wa miaka mingi wa kuzalisha maziwa na kutengeneza mtindi bora kabisa, kwa walioona na kunywa maziwa yetu watakubaliana na mimi Tunazalisha na kutengeneza mtindi zaidi...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mashine mpya kabisa haijatumika full box 10kg Twin tab Ni halali sio ya magendo Bei 450’000 Mwanza mjini 0654447202
1 Reactions
2 Replies
331 Views
Nauza simu zifuatazo kwa bei ya kutupa a.k.a mateke Iphone xr gb 64 price 540,000 iphone xr gb 128 price 600,000 Iphone x gb 64 price 470,000 Iphone xs maxbattery (-)560,000 iphone 11 gb 64 price...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hivi ni sehemu gani kwa Jiji la Mwanza naweza kupata kiwanja cha laki 8? Nataka nihamie Mwanza
0 Reactions
10 Replies
872 Views
Back
Top Bottom