Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ni Tshirt ya RIP Ngwair! Kama unajua zinapouzwa naomba unielekeze!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1800Cc Manufactured 2003 Imetembea km 116,622 Petrol Automatic Nicheki 0717 022737 Negotiation is open
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Nina sh. laki.6 je naweza kupata kiwanja au shamba Bagamoyo. Nikipata maelezo mazuri nakuja hata wik.end hii. Msumi pia sio mbaya
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kuscan documents kubwa mpaka size ya A0. Je hapa dar naweza kununua wapi hiyo scanner au wapi nipeleke material zangu ziwe scanned? Material ni mengi kama 500.
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Nipo Canada na kampuni yangu inasupply viatu vya mitumba grade A. Viatu hivi ni vya kike na kiume. Majina ni kama Nike, Naturizer, Jessica, American Eagles, 725, n.k. Tunauza kwa 40ft container...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Habari za leo wanajamvi?naomba mwenye kujua bei ya mashine ya kufyatulia matofali ya block na aina zake.nisaidieni tafadhali
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, Nina mama yangu mdogo anahitaji mkopo wa milioni 6 kwa haraka kwa mtu binafsi au kwa taasisi yeyote na atakuachia nyumba yake yenye vyumba vinne na sebule pia ina uwanja wa kutosha iliyopo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi I would like to let you know that I am currently working as a freelancer providing IT Security awareness training for small and medium enterprises located in Dar es Salaam and Morogoro regions...
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Viwanja vinauzwa 'direct' bila kuhusisha madalali, viko Vianzi, wilaya ya Mkuranga mwendo wa dakika 45 kwa gari toka Mbagala Rangi 3. Vimekatwa mita 20 kwa mita 20 na vinauzwa tsh. laki tatu tu...
2 Reactions
53 Replies
11K Views
Nina camera yangu tajwa hapo juu imekufa betri.hp photosmart R07 li ion rechargeable battery.hapa dar naweza kuipata wapa? Na bei yake inaweza kuanzia shilingi ngapi? Nitashukuru
0 Reactions
0 Replies
803 Views
TV ya teknolojia 4K inauzwa, ina 3D vision 8 processor, ATV, DTV 2 USB port na 2 HDMI port, Computer Conection, LAN na WIFI connection na ina 4.2 Android OS! Kwa muelewa wa specs hizo na muhitaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman wadau nauza line za tgo pesa na M pesa na Airtel money Bei ni 530,000 zote 3 sababu ya kuuza nmepewa kuwa wakala wa AZAM Tv na bizaa zngne za azam so si ruhusiwi vitu vngne kwa mnao jua...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Natafuta msichana wa kufanya kazi ktk salon ya kiume... Ipo Dar- Ubungo.......mshahara wa ukweli..... Simu 0714-111058....
1 Reactions
0 Replies
734 Views
Jana mwanangu kaipiga TV na rimot so kioo kimevujia wino aina sing sang 25 inch kunamtu anaweza nisaidia kupata kioo kipya
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Kwa wenyeji wa Arusha naomba kujua ni maeneo gani naweza pata maduka ya spare hapo A town na je naweza pata spare kwa bei nzuri kuliko Dar? Ninategemea kwenda A town kikazi na ninunue baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Iwe touchscreen na keypad ya nje kwa wakat mmoja. Line mbili, black color na uwezo mkubwa kwa makolokolo yaki smartphone, aina yeyote ni Pm tufanye biashara. offer ni bargaining power...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu wadau nahitaji kufuga ndege kwale (quil)​ naomba yoyote anaye jua mahali wanapo uzwa na bei zake nitashukuru
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tunauza Viwanja kwa bei nafuu ktk kata ya moshono. Mita 25 kwa 15 tupe milioni 10 Nyingine nyingi. Nipigie 0764 291222
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
WANA JF, NAOMBA MSAADA WA KIMAWAZO! NATAMANI KUFANYA BIASHARA NINA 2MIL. NIPO SINGIDA...KAMA UPO SINGIDA NIPO TAYARI TUSHIRIKIANE TUJUE TUNAFANYAJE BIASHARA...!NAFIKIRIA DUKA LA KAwaida!
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom