Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/687427-tvs-cc125-model-glx-indian-made-for-sale.html
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Nishatafuta gari humu mpaka nimechoka ndugu. nahitaji Vitz au gari yoyote jamii hiyo kwa milioni 4. Iwe smart na fuel economy. Registration namba ianzie B. Karibu Mawasiliano...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Salam kwenu waheshimiwa nauza vitenge kutok kigoma pea 1 ina pic 3 vizur san kwakushona bei sh 30000 napatikan mwenge dsm no yang n 0654021060
0 Reactions
2 Replies
811 Views
BlackBerry Bold 4 inauzwa. Ipo kwenye hali nzuri kabisaa! Inatumia keypad na touchscreen ... Bei 320000/- ni pm kwa biashara
0 Reactions
0 Replies
741 Views
External hii imetumika mwezi mmoja tu na ipo na cable yake. Size yake ni gb 500 na ndani ikiwa na zaidi ya movie 70 including animation movies...ipo dar... BEI TSH.100000/= ..ukiwa interested...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
No 2 apartment type chumba kimoja cha kulala futi 16 kwa 16,chumba cha pili cha kulala ukubwa sawa na cha kwanza,master futi 16 kwa 28,jiko la ndani,choo na bafu la ndani,maji ya dawasco yanatoka...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau mi nipo Shinyanga kama kuna mtu anajua sehemu ninayoweza kupata tairi ya mbele size 23 nipate kununua.
0 Reactions
3 Replies
784 Views
Nina tani 40 za maharage ya soya mwenye kuitaji anicheki 0784652017 bei ni maelewano .karibuni wadau yapo dar
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naamini kuna wataalamu wa masuala ya viwanja humu..naombeni kuuliza vipimo vingi vya viwanja vipo katika square metres (sqm)..sasa nataka kujua square metre moja ni sawa na ukubwa gani? Na pia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji computer desk top kama 100 hivi kwa ajili ya matumizi ya wanafunzi mashuleni wap naweza pata computer nzurii na kwa bei nzuriii Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyeusi yenye mistari mistari na nyeupe yenye mistar kwambali ukubwa wakiuno suruhali 30 na makoti nyuma yanamipasuo huku nahuku zipo temeke Dar es salaam bei @ 100,000 kwazote mbili hitakua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nipo Dar naweza kupata wapi digitizer ya lumia 900? Na je ni sh. Ngap? Display ipo nzima kabisa tatizo ndo Hiyo digitizer
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Kwa yeyote anayeweza kuniunganisha au kunisaidia kupata machine hii naomba msaada wake. kwa mawasiliano 0769814778
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shamba la ukubwa wa ekari 200 linauzwa lipo mugumu serengeti linapakana na hifadh ya serengeti.eneo hilo inafaa kwa ujenzi wa hotel ya kitalii shule napia hata kwa kulima pia.npm kwa uhitaji
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Inauzwa ni mpya original kutoka uingereza...laki 2 kwa jumla na laki 2.5 kwa reja reja....call me 0716121313
0 Reactions
1 Replies
792 Views
t 184 bgf .bei ni mil 5
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Samsung mini laptop. Ram 2gb, processor 1.6, hdd 320gb, ina webcam. Bei 420,000TZS contact
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ps2 inahitajika kama unayo andika na bei yako na namba ya simu
0 Reactions
6 Replies
977 Views
Nahitaji kwa ajiri ya biashara. nataka nione bei kwa show room na kwa watu binafsi.Iwe na hali bora,ikiwa unayo tuwasiliane kwa email2@gmail.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naleta swali la ndugu yangu ambaye ni mwajiriwa miezi miwili sasa! mshahara wake ni laki sita na hamsini na ushee hela za kitanzania! anataka kuomba mkopo wa milioni 10 benki yoyote japokuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom