Wadau napangisha nyumba ipo Morogoro ambayo inavitu vyote ndani kama TV,AC,Friji kubwa,Security Cameras,Vitanda,Majiko,Vyombo.Nyumba ipo Forest Hill Morogoro na bei ni maelewano.Karibuni kwa...
Nahitaji Genuine Microsoft Office Professional 2013 cd
Au duka gan kwa hapa dar es salaam naweza pata
sihitaji downloaded package ya office 2013 wala siitaji cracked versions
nahitaji a genuine...
Nyumba nzuri inapangishwa Kigamboni umbali wa km 4 kutoka ferry. Nyumba hii ina specifications zifuatazo;
Vyumba 4
Jiko la ndani
Dinning room
Vyoo viwili vya ndani
Parking ya magari 2 au 3...
Toyota Ist inauzwa imetembea km 69,000,rangi nyeusi, imesajiliwa kila kitu, haina tatizo lolote! Ina cc 1300,iko dar es salaam, PRICE 8.5M
Kwa mawasiliano call 0657439090
Wana jf, ninatafuta chainsawa machine, iwe ya kukodi au kununua ambayo inatumika, ninaihitaji kwa ajili ya kukatia miti shambani, mwenye nayo au ambayo anajua nitaipataje tuwasiliane, naomba ani...
SPECIFICATIONS
- Processor: Intel Core 2 Duo (3.0Ghz, 3MB)
- RAM: 2GB
- Hard Disk: 320GB
- Monitor: Dell 19″ HD Monitor
- DVD Drive: DVD±RW (±R DL) yenye uwezo wa ku-print CD
- Ina wirekess...
Habari wakuu!
Lexus Is200
1989cc
6cylinders
Heated seat
Traction control
Cruise control
With child lock
Colour Blue
Model year: 2000
Price: 8million, NEGOTIABLE
Location ipo...
Kiwanja kinauzwa kipo kibada kigamboni, kiwanja kimepimwa na hakipo kwenye mpango mji mpya wa kigamboni, kipo block 16 kibada, kikubwa!! Bei ni nzuri milioni 30, bei inapungua!! Ukiwa wahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.