Kama ww ni Mwanafunzi na unatafuta Laptop kwa ajili ya Shule au kazi zako, Pata hii Laptop kwa Bei sawa na Bure. Imported from USA(Class-1,Its durability is Made for 1st World). Haijatumika kabisa...
Wadau, ninatafuta moja ya magari tajwa hapo juu! ila zaidi napendelea Swift! liwe na cc si zaidi ya 1,400! liwe lina hali nzuri! nina milion tano na laki tano tu! mwenye nalo anipm picha zake! Ahsante
Nyumba inauzwa maeneo ya Moshibar Ukonga, ukubwa wa eneo ni mita za mraba 187 thamani ya kiwanja kama hakuna jengo ni 14m, nyumba ina vyumba vitano ya kulala na seble kubwa. bei 23m muuzaji ana...
nakupa nokia E5 na 60,000 cash unipe simu ya android iliyo kwenye good condition na vifaa vyake. Huawei y300 na tecno p5 itakuwa bora zaidi. Nipo dar 0688 206680
Shamba kubwa lenye ekari 1000 linauzwa
Shamba kubwa lenye ekari 1000 kwa pamoja linauzwa kwa pamoja Kiwangwa Bagamoyo Pwani.
Bei: Tsh 500,000/= kwa ekari na maongezi yapo.
Shamba halina hati...
used HP 6730 LP's imported from Ukraine available at cheapest price
bei:250,000 Tshs (fixed price)
SPECS
system features
Processor
Intel® Core2 Duo Processor P8800 (2.66 GHz, 3 MB L2...
kambale hawa wapo wa urefu wa inch 4 mpaka 10 bei ni shilingi 1500 kwa mmoja
nipo dar ntakuletea popote ulipo ndani ya dar au nje ya dar kwa mawasiliano zaid071505049
Wadau habarini za weekend....nauza accer min laptop imetumika miez mitatu na haina tatzo lolote yenye specification ya harddisk 250 gb na ram 1 gb. Your welcome!! 0713 806 766.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.