Ndugu wana jf!!
Ninauza simu za startimes (Smart phone, K-Touch-M35) zenye king'amuzi ndani;
- Ni digital Tv ( Playing time approx 4 Hours) katika mfumo wa HD
- Zina FM Radio...
Achana na ma-fremu ya picha ya mbao ya kizamani....sasa pata Nix Digital Photo Frame yenye uwezo wa kuonesha picha zaidi ya 1000 ku scroll tu yenyewe....Pia ina uwezo wa kuplay videos and...
Salaam wadau.Ninamzigo wa TV nauza kwa bei nzuri.Tv zote ni mpya na ni kama ifuatavyo:
1.Samsung Plasma 51 inch kwa mil 1.5
2.Samsung LED 46 inch kwa mil 1.6
3.Samsung LED 43 inch kwa 1.1 mil...
naweza kuleta bidhaa gani hapo tz ambayo nitatengeneza pesa ya haraka wadau, nakuja next week, nitashukuru ukinishauri na kunionyesha faida ipoje kwa bidhaa hiyo
Habari wana jamvi,
Kuna nyumba inauzwa maeneo ya mwananyamala kwa kopa,ipo kwenye eneo zuri haliingii maji na bei ni shilingi million themanini (80000000) kwa yeyote aliye tayar naomba ani pm...
Simu tajwa hapo juu inauzwa,almost new,imetumika miezi mitatu tu.
Features kwa ufupi ina 1gp ram,8gb internal memory,front camera,pia ina screen protector, no scratches.
Bei tshs 280000.
Kama upo...
Hp dc 5800 SFF
Processor: core2duo 2.83 Ghz
Ram : 5GB
HDD : 750GB
GPU : ATI Radeon HD 5450 1GB
Monitor : Philips 196v LED 18.5"
Extra staff
Comes with DVI, HDMI...
Wakuu mnao patikana Tabora na Shinyanga hii itakua inawahusu zaidi. Nauza earphones aina ya Sony mpya, hizo ni earphone nzuri sana kwa matumizi yako kama listening music na etc..
So if you are...
kiwanja kipo maeneo ya Kongowe(Mbagala) maeneo ya Kilungule hakijapimwa ila kipo salama,
Kipo katika slope ya wastani, atakayekihitaji anakaribishwa kwenda kukiona na kutadhimini kabla ya kununua...
Motorola DROID HD RAZR XT912 for sale
4G LTE,16 GB storage, 1 GB RAM
Camera 8 MP& 2 MP
OS:jelly bean 4.1.2
come with accessories
Price:255,000/=Tshs
0659223322
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.