Kwa anaeuza laptop tafadhari aniuzie bajet yangu laki moja! Ingawa ni bei nafuu iwe na hali nzuri kidogo jamani!
Nicheki whatsap +19518884344
au nipigie 0716863406
Stationary ya kisasa, iliyosheheni vitendea kazi vyote inauzwa Tshs 9,508,462/= kwa mchanganuo ufuatao:
1) Thamani ya bidhaa zilizopo ni Tshs 4,025,250/=
2) Thamani ya Non...
Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.40,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia...
SIMU TAJWA HAPO JUU NIMEITUMIA KWA MIEZI MIWILI TU, IPO VIZURI KABISA, HAINA SCRATCH HATA KIDOGO, INATUMIA LAINI ZOTE/HAICHAGUI, BETRI IKO FRESH, NI SMARTPHONE, BEI YAKE NI 90,000/=. Nipo Dsm...
Tunatoa huduma ya utabibu wa Tiba asilia na tiba mbadala, kwa mangonjwa yafuatayo:
MOYO MKUBWA
MATATIZO YA UZAZI
VIMBE ZA AINA ZOTE MWILINI
MALARIA SUGU
VIDONDA VYA TUMBO
TAIFODI
AMIBA NA...
Nyumba safi kwa ajili ya makazi ya familia au biashara kiwanja /Plot 440 Block C Nkuhungu East
Inauzwa Mjin Dodoma, Nkuhungu Kituo cha mwisho cha Daladala CCM ulizia kwa Bw CHacha
ukubwa wa...
HELLO,
NAJUA KUNA WACHANGIAJI WATAONA AJABU MTU KUHITAJI GARI YA 2M.
ILA NINA FAHAMU KUWA WAKATI MWINGINE MTU HUUZA GARI KWA BEI NDOGO KUTOKANA NA SABABU ZA MSINGI NA ZA HARAKA.
PIA KIASI CHA...
Narejea tena kutafuta gari la kununua. Mara hii ni kwa ajili ya jamaa yangu .
Amependa jinsi nilivyotumia JF kupata gari zuri tena kwa bei nzuri,mpaka leo nadunda nalo safiiiiii.
Sasa...
Wakuu nauza simu aina ya samsung galaxy s2 imetumika mwezi m1 na week 2 haina tatzo lolote na 7bu ya kuiyuza nimenunua nyingine ambayo ni s5 xo kama utapendelea nicheki kwa number hzo 0713943432
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.