Wakuu, nahitaji mashine ya kutotoleshea vifaranga naweza kupata wapi?Kuna mtu aliweka post kuwa anazo ila shida ni kuwa hajibu maswali ya wateja. Asante
Je unamiliki biashara ya aina yoyote ile basi pata logo zenye ubora na zitakazoweza kutangaza biashara yako mahalii popote pale kwa bei ya tsh.40,000/=tu kwa anaehitaji logo awasiliane nami...
Habari wana JF, naomba mwenye uzoefu wa gari aina ya Freelander anifahamishe nataka kuinunua ila nimesikia kuwa zinachemsha ( yaani kuwa haziwezi kwenda long safari). ni kweli??
Ninauza mbati ya rangi ya blue/green (ipo kati ya rangi hizo)yaliyobakia baada ya kuezeka nyumba yangu. Ni meter3 a futi 10 .Jumla yapo 31 nimeyanunua mwezi uliopita. Bei ya madukani kwetu ni...
Nauza Xbox 360 yenye cables zake zote pamoja na cd za michezo zifuatazo hapa chini:
Bad Company (rated 16+)
Counter Strike (R16+)
Call Duty; Modern Warfare 2 (R 18)
Tom Clancy's Hawx (R 12+)...
Habari wakuu laptop yangu ya dell dogo kaitia juisi imeungua asa nimeuza baadhi ya vitu
vizima imebaki adapta.Naiuza kwa tshs.40000/= tu!!!!! Ni orijino kabisa kama waitaka nipigie simu...
Nyuma inapangishwa ipo mbezi beach st marys vyumba 2vya kulala sebule jiko choo pia ipo nyingine mbezi beach tangibovu laki tatu kwa mwezi 0714 787795 pm ur number if ur serious photo zinakataa...
Wanajamvi habari ya mihangaiko ya maisha,
Nilikua nauliza wapi nitapata soko la mihogo? Mimi niko Mkuranga ila naogopa walanguzi, ninazo heka 2 mihogo safi kabisa hata hapa ndio napata wa mchana...
Kwa mahitaji ya ku-design logo, banners (mabango), head letters, business cards, posters, fliers, screen-printing artworks, calenders, button badges, na kazi nyinginezo zihusianazo na graphic...
HAVE A LOOK AND CHOOSE WHAT YOU WANT!
For those who are interested;
Price: Tsh. 100,000 (Negotiable depending on the design)
Contact #: 0718079550/0684801020 (Ask any question through these...
Habarini wakuu? Ving'amuzi vipya kutoka starttimes,cables na Antena vinapatikana.Bei ni 79,000 tu kikiwa kimeunganishwa na kifurushi cha kili kwa mwezi mzima. Pia Antena na cables zake mita 15...
nyumba inauzwa nzuri kweli ilala karibu na amana hospital nyumba ipo poa ina concret roof 5 b/rooms dining na large sitting room one room has a master with kisima kirefu cha maji barabara ya lami...
JIPATIE DVD ZA KUJIFUNZIA KIINGEREZA
ENGLISH DVD part 1 of 5
CONTENTS:
1.Greetings
2.More Greetings
3.Greetings Throughout the Day
4.Useful Expressions
6.Introducing Yourself
7.The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.