Habari wana Jf.
Kwa yeyote anayehitaji line ya tigo pesa na vodacom m-pesa anitafute, nipo dar na bei yake ni Tsh laki nane (800000) kwa line ya tigo na Tsh laki nne (400000) kwa line ya voda...
ndugu wanajanvi natafuta gari nzuri na isiwe chini kwa bajeti ya mil4,isiwe automatic na fuel consumption yake iwe inakunywa vizur,ofa zinakaribishwa ill maneno ya kejeli na zarau hapa sio mahala...
hi.. check out this deal..inauzwa.
SUBARU FORESTER CROSS SPORT
ENGINE CAPACITY(SG5) 1990CC
YEAR 2002.
Millage 49214,
4 cylinder.
COMPREHENSIVE INSURANCE
AC, Radio 6 CD CHANGER,
NAVIGATION...
Wadau salaam..natafuta mtu ama kampuni inayojishuhulisha na printing ya logo kwenye mifuko ya plastiki kama ya mikate ama kuku..Kama yupo anicheki kwa namba 0659300000.Asanteni
Kama unahitaji line ya M PESA
fuata maelekezo yafuatayo:-
i) TIN No.
ii)Lesseni ya biashara (iwe ndogo au kubwa),leseni ya biashara ni rahisi sana kupata,ulizia mamlaka husika
iii)Kitambulisho...
Ukitaka kukunua viwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au...
KIWANJA KIKO KARIBU NA HOTELI YA RECCA COURT MIVUMONI MADALE
KIWANJA NI EKARI MOJA
GARI LINAFIKA MPAKA KWENYE KIWANJA
KIKO KARIBU NA BARABARA
BEI MAELEWANO
MIL 35 na Maelewano yapo
CONTACTS...
Wakuu wa jamii napenda kuwa taarifu kuwa mzigo mpya wa Nokia XL umekuja na warranty ya mwaka mzima na msaada wa kiutendaji wa milele. Bei ni 300,000/= kwa mawasiliano zaidi piga 0764449722. Na...
Nina project ya kuandaa video ya nyimbo za gospel, nahitaji kampuni ya kuifanya hiyo shughuli.
Kama wewe una kampuni inayoshughulika na hayo, ni PM Gharama zako na details zote za project yote...
Mazda Atenza,2012 model
Transimition:automatic, 114,702km
Engine:2.3i 16V,178 hp
Fuel:Petrol,64 liters full tank
Capacity:2261 cc
Price:14.5mil
Contact:0659223322
Ndugu wanajamii,
Tunawaletea mbele yenu kampuni binafsi ya uchunguzi wa mambo ya Fraud and Corruption kwenye maeneo ya kazi hasa kwenye makampuni binafsi na serikalini. Tunatoa huduma ya...
Mm niko Dar es salaam,natafuta kifusi cha lami,ambaye anafahamu kinapopatikana kwa hapa Dar es salaam naomba anifahamishe,ikiwezekana na bei pia,mawasiliano ni 0763 47 47 73
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilays ya Longido kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati...
Punguza matumizi yako ya umeme🚫
Jipatie pasi ya kudumu,yenye ubora wake, yenye kutumia umeme mdogo(350W) kulinganisha na pasi tunazotumia kwa sasa majumbani.
Bei kwa rejareja ni 48,000/-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.