Habari wadau,
Wadau nimechoka kukaa mbali na kazini kwangu, naishi g/mboto kazi kinondoni natoka home udiku narudi usiku nauli hazishikiki naombeni msaada wenu.
Hivyo ninatafuta nyumba ya...
Habari mtanzania! Natumaini umzima wa afya njema! Kwa sasa kampuni ya chinaworldbuz company tupo nchini Tanzania. Kwa sasa tupo mkoani Arusha kwanzia tarehe 20-21 mwezi huu wa January 2014 kwa...
Wakuu naomba mnisaidie kwa wale waliowah kutumia hii simu ikoje inafanana kweli na original kwa muonekana umbo na ukiwasha ndan? Je ubora wa kamera na vp ram ile ya 1GB inafanya kaz vizur na je...
Jamani ninataka kuagiza gari Toyota D4D Double Cabin na nina kiasi cha Tshs 20 Milion Shillings (Including gharama za usafiri na kodi). Kwa mwenye uzoefu naombeni msaada iwapo ninaweza kupata...
Wandugu,
Nguo za akina mama toka Marekani zinapatikana kwa bei ya jumla. Kwa wale wenye maduka na nguo na wanahitaji supplier, nitumie ujumbe kwa mazungumzo zaidi juu ya bei, n.k.
Unaweza...
Nyumba zipo kibamba kwa mangi ni dakika kumi kutoka kituo cha daladala,ni nyumba mbili ambazo hazijawahi kupangisha kwa maana nyengine ni mpya kabisa.
1.Nyumba ya kwanza ina vyumba...
siku ya tarehe 14/1/2014 nimeibiwa fekon pikpk yenye namba t 228cky maeneo ya kwa aziz ally karib na mtongani msaada wenu ktk kuitafta nambayangu 0717215506
Kuna shamba linaizwa lipo kibaha misugusugu karibu na roneka sec school. Shamba lina ukubwa wa ekari 5. Lipo sehemu nzuri tambarare na lipo karibu na makazi ya watu.
Tuna :
1.solar kit yenye uwezo wa kuwasha taa mbili ya watts 3, au taa 3 za watts au 2 , kuchajisha simu zaidi ya 3 kwa mpigo, redio ndogo pamoja na feni yake, hii ina warantii ya miaka MIWILI ...
Habari wana JF, Tunauza asali mbichi toka mkoa wa tabora, bei zetu ni nzuri kabisa. Lita moja ni tsh. 8000 na Nusu lita ni tsh. 4500/= tuu. Tunapatikana Ktk mji wa dodoma ila mawasiliano...
Waumini nauza CPU used
Ram: 1GB
HD: 2TB
Processor:3.0 Bei 280,000 kama upo tayari nichek mzigo upo poa HD ina movies zaidi ya 100 ukipenda nitakuacha usepe nazo.Nipo Tabata njia ya...
kiwanja kipo kigamboni wilaya ya temeke
kina ukubwa wa sqm 1,100
kipo gezaulole, ni km 16 kutoka feri ya magogoni
kimepimwa na kina ofa.
Kipo umbali wa hatua mita 30 kutoka barabara ya lami...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.