Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau wa ardhi, *Nyumba hii inauzwa jijini Mwanza. *Ipo eneo la Luchelele, mbele ya SAUT, *Ni nyumba mpya ipo kwenye finishing, *Inavyumba 3, master 2 na kawaida 1, *Plasta ndani na nje...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hio Simu ninaitafuta sana iwe katika hali nzuri. Mimi niko Iringa kama unayo ni PM Let's make business. Ahsante wakuu.
0 Reactions
2 Replies
972 Views
wadau, Kama kuna mwenye iPod na anauza basi ahusike na kichwa cha habari hapo juu ila iPod yenyewe iwe nano (8th generation) ama touch (4th generation with memory of 64GB). iPod ziwe mpya na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja cha 17m kwa 35m kinauzwa millioni 5 kipo Chanika Masantula karibu na shule ya Tungini, Note: ni vipande vinakatwa kutoka eneo kubwa kwa hiyo kuna flexibility ya eneo la kiwanja kupimwa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Habari ndg JF Ninauza tablet yangu nimeitumia mwezi mmoja tu toka iliponunuliwa nI ZTE TABLET bei yake ni 380,000 (laki tatu na themanini). DSM serious buyer call 0717 163106 SPECIFICATION...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Hp deskjet ina uwezo wa kuprint,kuscan na kutoa copy.colour,photo,plainpaper n inkjet pia. BEI:maelewano
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Needed. Call 0712868178
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninauza ng'ombe bora wa maziwa (product za kituro) kwa bei ya jumla Tsh. 900,000/- kwa kila mmoja. Ng'ombe wako watano na wote wanakamuliwa na wana mimba kati ya miezi mitatu na minne. Wanatoa...
0 Reactions
23 Replies
23K Views
Wana JF natafuta Lap Top naomben specs za machine mlizonazo tufanye b'ness......prioritized ni ACER,Samsung na HP. +255 717 416979
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Wadau, habari zenu? Hivi naweza kupata wapi nguzo imara za vyuma kama zile zinazotumika kutengeneza stand za daladala za magari yaendayo kasi (STRABAG). Na zinauzwa bei gani kwa nguzo moja na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari ndg JF Ninauza tablet yangu nimeitumia mwezi mmoja tu toka iliponunuliwa nI ZTE TABLET bei yake ni 380,000 (laki tatu na themanini). serious buyer call 0717 163106 SPECIFICATION...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mapato yako ya kutumia Perfect App kwa mwezi wa November 2013 yameshatayarishwa. Kuna sehemu tatu upande wa juu kushoto wa Perfect App. Ya kwanza ni kwa ajili ya Cash Factors, ya pili ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza tv aina hitachi 21 inch,bei 150,000/= nimetumia kwa miezi 8!ni pm if u're interested.Nipo dar
0 Reactions
11 Replies
2K Views
simu used,nataka kununua simu nyingne,ipo fresh kabsa,nicheki thru 0688674747 nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Nauza sim aina ya blackberry bold 9900,iko kwenye hali nzuri na haina michubuko yoyote, ina 5mp camera 8gb internal memory. rangi ni black. bei yake ni 350,000 picha imenishinda ku upload...
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Kiwanja kinauzwa, kipo Majohe 5km kutoka Mombasa/Gogolamboto. Kiwanja kimepimwa na Serekali na kina title. Kina ukubwa wa sqm1100., bei 12m. Anaye hitaji wasiliana nami.
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Wakuu poleni na majukum, naitaji hiyo komputer model kuanzia 2010 kushuka chini. Ambaye atakua nayo bac tuwasiliane kwa pm or kwa cm no yangu ya cm ni 0769038065. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
nitapata wapi Pulsar 200NS hapa dar es salaam?
0 Reactions
0 Replies
616 Views
New in box with all accessories @ 270000 call 0712868178
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama unahitaji sofa imara na za kisasa ambazo ni mpya kabisaa na bei rahisi nicheku kwa number 0713644485 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom