Yard inangishwa Ipo kinondoni barabara ya ally hassan mwinyi, Ina sifa zifuatazo :
Ukubwa sqm 1,800
Jengo la vyumba 7 vya kulala. onaweza ukatumia kama ofisi nk
Umeme na maji vipo :
Tank kubwa...
Kuna fundi mwenye kipaji na uwezo wa ajabu wa kutengeneza simu ,simu anazotengeneza ni zenye matatizo kama [i]unlock password [i] internet connection..simu anazodili nazo ni [i]NOKIA [ii]SAMSUNG...
nyumba ya kawaida inauzwa mbagala
kiburugwa.nyumba hiyo ina vyumba vitano na
sehemu ya kiwanja ipo.ipo kwenye mtaa unaopitika
na gari hadi hapo kwenye nyumba. Nyumba ina title
deed yaan (hati...
Halo Wanajamii.
Ninauza eneo la ukubwa wa eka 2, eneo lipo kidimu maeneo ya mpigi kwa mbele.
Eneo halijapandwa chochote. Lina mchanganyiko wa bonde na tambarale.
Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa...
Wadau wote wa JF.
Rafiki yangu anataka kununua Toyota Noah Old model. Pesa yake ni sh milioni 8. Mimi siyo Dalali. Muuzaji yeyote mwenye gari kama hiyo ani PM, au anitunie picha...
Habari wadau wa kilimo natafuta mashamba ya kukodi maeneo ya maji kwa ajili ya kulima mboga mboga.. kama ruvu hivi na maeneo mengine yenye maji. Nawasilisha
Apartment inauzwa eneo ni Mikocheni, karibu na maeneo ya kwa Warioba. katika hilo jengo wapangaji wanalipa kodi $2500 kwa mwezi. kwa mawasiliano 0773 944 944
Nina kiwanja nauza mbezi makabe karibu na shule ya msingi makamba,ni sehemu watu wanajenga majumba ya kifahari, ukubwa 20x42, bei 12M kina hati ya serikali ya mtaa. dakika 5 kutoka barabara iliyo...
Bei tsh.laki na ishirini
Dell computer specifications;
HD:80
Ram:256
Processor:2.9ghz
n.b
ni case/cpu tu bila ya monitor wala keyboard n mouse
contact;0656063933 or pm
nyumba ya kawaida inauzwa mbagala
kiburugwa.nyumba hiyo ina vyumba vitano na
sehemu ya kiwanja ipo.ipo kwenye mtaa unaopitika
na gari hadi hapo kwenye nyumba. Nyumba ina title
deed yaan (hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.