Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta friji dogo jipya au used.....uni pm na bei kabisa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta Ipad used,isiwe mini.
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Simu ya aina Nokia 2200 +255 756 412 337 Give your offer.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naitwa hussein ni mkazi wa dar lakini ni mwenyeji wa muheza nina miwa yangu ambayo ipo shambani kwangu muheza tanga nahitaji mnunuzi nina miwa iliyo tayarri kuvunwa ipo kama 20,000 aliye tayari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, mwenye kuuza bold 9780 ambayo iko kwenye hali nzuri na haina scratches na inakaa na charge fresh niko tayari kuinunua. Offer yangu ni 380,000/= na nicheki kupitia 0753196849 we...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kuna m2 ana laptop nin laki3 anichek, 0659606000
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Nauza imac yangu, pamoja na vifaa vifwatavyo magic mouse original apple speakers Apple wireless Keyboard Specs: HDD 1TB 3.5Ghz 4GB of RAM SOLD! Fast!...wont last long! +255 756 412 337
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mi ni asili ya tanga na
0 Reactions
2 Replies
2K Views
biblia na Quran za kusikiliza(audio Bible and audio kuran) za kiswahili na English. Pia tuna vitabu vingi vya akina dan Brown, robert kiyosaki, ben carson, napoleon hill, dale carnegie, n.k...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji Toyota Townace wapi naweza pata na bei kwa yoyote alienae tuwasiliane ani pm
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Nahitaji line ya Tigo pesa mwenye nayo tuwasiliane kwa namba 0655710466
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza samahani wana jammi forum kwa kutumia lugha mchanganyo kwa tangazo langu lililopita linalohusiana na ili naombeni furusa nyingine ya kujieleza vizuri Nafanya biashara ya kusambaza mazao ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Killzone 2 Ratchet & Clank Metal Gear Solid:Guns Of Patriots +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
701 Views
kiwanja cha 20 kwa 25 unaweza kujenga nyumba?20 kwa 40 je? ghorofa single storey kwa million 60 inawezekana?km sio shiling ngapi inatosha??? nani anikopeshe millioni 25 dada yenu ninunue...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninataka laptop iwe na uwezo mzuri kama dual core 2.1ghz,h.disk 150 to 250 gb,ram 1.5 to 2gb,battery angalau masaa matano,isiwe mini,kampuni yeyote nipo arusha njiro chuo cha uhasibu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
New Sites Galena percent : 86:88 63 KM From Dodoma Municipality more information call +255 713 388499 +255 767 388499
0 Reactions
0 Replies
682 Views
DVD Player used inauzwa Remote yake imepotea, inafanya kazi vizuri tuu bado nzima ina cable zake na kila kitu inauzwa 90,000 Tuu... +255 756 412 337
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Natafuta sana nozzle za gari; .spacio old model .Four cylinders Zinapatikana wapi na bei gani ?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tv
Natafuta tv used ya shs.30 elf aina yoyote aliimrad ni nzima ni pm kama ipo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Waungwana natafuta kidi-frizer kidogo cha kuweza kutunza kama kilo 100 za samaki used mwenye nacho anaitafute haraka nipo dsm maeneo ya kimara baruti...!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom