Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza samsung digital camera mpya from UK ,ina 16.1mp ,nyeusi ina 5x digital zoom,ina 3" lcd screen.Iko ndogo inaweka hata kwenye pocketbya suluali tu na ni powerful.bei 280k mwenye kuhitaji...
0 Reactions
4 Replies
874 Views
Habari wana bodi, Jamani napenda kufahamu bei za magari niliyotaja hapo juu; Mark X, Toyota Verossa na Rav 4 (Kubwa) ya mwaka 2002-2004 kwenye show room Dsm, kama kuna anayefahamu naomba msaada...
0 Reactions
13 Replies
17K Views
Nauza kiwanja kipo Dar ea salaam wazo kimepimwa na kina hati bei Ni shilingi million 28, sqm 669 negotiable,serious buyer only
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Nauza mbuzi ishirini kila sh.70000@ wana afya nzuri Sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mashine ya umeme ya kukamulia juice ya miwa zinauzwa kwa bei nafuu kwa mawasiliano piga simu namba 0753 181 333 0715 181 333
0 Reactions
9 Replies
5K Views
habari bandugu nina 1000,0000/= naitaji pikipiki aina ya fekon au sunlg pls ni haraka sana yaitaji ni muhimu aliyenao anipm iwe imetumika mwezi 1 tu au iwe mpya kabisa pls marafiki nisaidieni...
0 Reactions
0 Replies
678 Views
HP 4580 multifunctional machine mpya inauzwa kwa Laki Moja na Elfu ishirini(120,000) Contact : 0766507080
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Kwa wanaopenda kupendeza kiafrica zaidi kwa mavazi ya batiki za kisasa utaletewa popote ulipo dar na mkoan.Pia kama unapenda kujifunza utengenezaji wa batik utafuatwa kwako na vitabaa vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
boxer bm kwa mil 1.3 bado mbichi imetumika miezi5 kwa safari za kuenda mjini na kurudi na imelipiwa bima kubwa....nicheki 0717 022737
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wajasiriamali tunaungana;kwa mtu anae hitaji machine mpya nzuri na zenye ubora aina na size tofauti kama canon 2020i/2016;contact 0718 24 7575 UTAPATA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa maeneo ya Bunju ‘A’ (Kiondo area). Vipo kilomita 3 toka barabara ya Bagamoyo. Bei ni kama ifuatavyo: Ukubwa unaanzia 20 X 20 (Tshs. 12mil.) hadi 25 X 30 (Tshs. 16 mil). Ukihitaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sold............. Imeshauzwa............. Fuata hii Link kupata sifa zake zaidi
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wakuu Nataka sports rim nzuri . Niende wapi kwa hapa Dar nikapate choice kubwa. Nini cha kuangalia kwenye rim zaidi ya size, coz nasikia nyine ukikanyaga reli ya treni zinakatika asanteni
2 Reactions
11 Replies
8K Views
Wakuu natafuta bendi ya kupiga kwenye mgahawa wangu mkubwa upo kati kati ya mji wa dar es salaam. Ambaye ana connection na bendi yoyote kubwa aniunganishe .. Utapata commision yako...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Canon PIXMA iP4940
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Umofia kwenu Ogah na Igwe, viwanja vya kupimwa kibada 1.Details ~size 600sqm ~block 16 ~umeme upo ~bei 16m ~Hati ipo ~plot no.....Hidden 2.Details ~size 620sqm ~block 9 ~bei 17.5m...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Huawei smartPhone inauzwa ipo in good condition...ina wi-fi hotspot,3G. #Price ;170,000 Tsh/=
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, nahitaji iPad ya Samsung inayotumia laini ya sim (sim card) Kama unayo SAmsung Model GT - P5100 au nyingine yeyote naomba uni pm; Mimi niko Arusha
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni nyeusi, ina 32gb memory, 8mp camera, 1gb ram, na 1.5ghz quadcore processor. Imetumika 5 months, inakuja na charger tu. Kama uko interested njoo pm, au nichek at 0717301520
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Wakuu... anayefanya biashara ya kuuza hizi simu za Huawei IDEOS U8150 plz tuwasiliane
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom