Kwa yeyote mwenye kufahamu namna navyoweza kuwapata wauzaji wa printer kubwa za konica minolta kule dubai. Nimetafuta kwa internet nimeshindwa kupata contact zozote. Msaada na namna ya kufika dubai.
Viwanja vinauzwa Makabe maeneo ya Mbezi road viko karibu kabisa na Barabara na barabara inafika mpaka kwenye viwanja vyote,vyote vina ukubwa wa 20X35 na bei ya kila kimoja ni mil.13,kwa mwenye...
Ndugu wadau napenda kuulizia bei ya hiace dungu ikiwa used japan hadi kuifikisha tz na kulipia kila kitu inaweza kugharimu kiasi gani?
Nitawashukuru wote mtaonipatia taarifa coz nataka kubiashara hii.
Tunatengeneza software kwa ajili ya management ya biashara yako mfano :- Payrol software,School management system,hotel management,accounts software and may more software according to customer...
Kama kuna mtu Ana miliki magari ya namna hiyo( Lexus,Noah,Rav4 hata kama Una Prado) nataka tubadilishane kwa gari yangu aina ya Nadia na pia nakupatia na hela kadhaa.
Lexus(Nadia na 3M)
Noah...
Nimemaliza kumwaga zege. Nina mirunda 700 (bei @ 1,500) Marin Board 65 (bei @ 40,000) Mpya zimebaki 5 ambazo naziuza kwa (@ tshs 50,000) na Mbao za 4x2, 6x2 na 10x1 nyingi). zote zimetumika mara...
Nauza Toyota Altezza Gita milion 12 namba CLL rangi ya silver ina week toka itoke bandarini, na pia ina mziki wa thamani ya milion moja Unaplay DVD... Call 065314
Stanley, Dar es salaam
Nilikuwa naitumia ila sahivi nataka kusitisha kufanya hii biashara kutokana na kuwa bize na biashara nyingine,napatikana Tegeta.Anayehitaji ani-PM tuongee biashara
Habari wana JF
Mimi nina mzungu mmoja ananunua copper ore (mawe yenye copper) kutoka kwa wachimbaji wadogo popote pale tanzania. Kama mtu anachimba copper au anamfahamu mtu anayechimba copper...
Android tablet yenye inchi saba inatumia android application, ina microsoft office installed, viber, watsapp, facebook na
pia inatumia WIFI, pamoja na simcard. bado mpya imetumika kwa wiki mbili...
Kiwanja kinauzwa Mbezi Masana unaingia ndani 3km kina title D na ni hekari mbili na kina nyumba ya vumba 5 aijamalizika bado milango na madirisha na kupiga plasta (Finishing tu imebaki) sehemu ni...
Nyumba zipo kibamba kwa mangi ni dakika kumi kutoka kituo cha daladala,ni nyumba mbili ambazo hazijawahi kupangisha kwa maana nyengine ni mpya kabisa.
1.Nyumba ya kwanza ina vyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.