Natafuta simu za kuweza kutumika ndani kwa ndani yaani hazitumii mtandao wowote ila frequency tu na ni ndani ya distance maalumu tu. Naweza kuzipata wapi?
laptop inauzwa aina ya toshiba version 2002 service pack 2, windows xp Genuine intel R} CPU,T1400@1.83 GHz, 1.83 GHz, 448 MB of RAM. ipo katika hali nzuri garama ni laki tatu thelathini kwa...
Jamani wanajamii kwa yeyote anaye uza vifaa vya jiko la baa namaanisha
.majiko
.makarai
.kabati za chipsi
.na zaga zaga nyingine zinazo husika na jiko la bar
awepo dar es...
One of twin houses in a fenced compound having four bedrooms one self contained is now available for renting. If interested call me through mobile phone number +255 715 203386 (prefferably during...
BlackBerry curve 3G 9300 inauzwa Tsh 160,000/= .........ni used ila ipo kwenye hali nzuri na haina tatizo lolote....na ina betri moja la ziada....Kama unahitaji just ni PM
KARIBU TUPO KINONDONI, TOGO STREET, TUNASHONA SUTI AINA ZOTE KWA KIWANGO BORA NA CHA JUU KABISA!
KWA MAWASILIANO:-
1. Email_ manrasha@hotmail.com
2..0713251605, 0713251391,0682604363.
PIA...
Je unahusika au unaweza kusaidia kupatikana kwa machine za kisasa used na mpya(hand and motorized) katika domestic na commercial fumigation?.Tafadhali nipm au weka hadharani zinahitajika haraka...
Shamba lina ukubwa wa hekari 12 lina minazi, michungwa, mikorosho na nyumba ya vyumba vitano ya tofari, shamba lipo Visiga maili 35, lipo mita 400 kutoka barabara ya Morogoro, bei milioni mia moja...
Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, sehemu ya kulia chakula na jiko. Ina master bedroom 1, chumba kingine ni self contained, kinachobakia hakina choo na bafu. Pia kuna choo na bafu kwa ajili ya...
Salaam wakuu...
...kuna biashara hapo juu ya
simu aina ya Samsung galaxy
S III,nimeitumia miezi kama
miwili ivi yani ni mpya
kabisa wakuu.
Ina charger,skrin
protekta,earphone na hata...
Nokia Booklet 3G
Windows 7
Processor : Intel (R) (TM) CPU Z530 @ 1.60GHz. 1.60GHz {duo core }
Harddisk : 100GB
USB Port : 3
System type : 32 - bit Operating System
Simcard slot {sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.