Wakuu nimerud tena ila safari hii nimekwama kidogo nilikua ninashida na iphone 3gs.mimi binafsi nina bbcurve2 9300 hivyo nionngeze na sh ngap uweze kunipa iphone3gs,asanten sana wakuu!
Nahitaji mojawapo ya simu hizo. Bajeti yangu kwa galaxy s3 ni 500k, na galaxy note 2 ni 650k. Naweza kuongeza kulingana na condition ya simu, rangi yoyote isipokuwa white. Kama unauza ni pm or...
Jamani wana JF,
Bado nyumba ipo sokoni for lease. Ni nyumba ya 3 bedrooms (one master bedroom en-suite), dining, living rooms, kitchen with attached storage room, recently refurbished house. 7,000...
Nahtaj i nyumba ya kupanga maeneo ya upanga au posta au maeneo ya karibu na town kama kijitonyama kurudi nyuma. Iwe na vyumba viwili au zaid iwe na choo seating room na kitchen hata...
Pata mbuzi wa maziwa wanaotoaa mpaka lita 2 kwa mkanuo kwa siku wana lita 4 pia ngombe wa maziwa wapo wanatoa maziwa mpaka lita 10 kwa mkamuo kwa cku wanatoa lita 20 karibuni niko arusha
ifanye ngozi yako YENYE afya nzuri, YENYE MVUTO, kung'aa NA kuvutia.
hii ni ngozi za aina zote namaanisha.
ngozi kavu
ngozi za mafuta
ngozi mchanganyiko namaanisha kavu NA mafuta.
ngozi Tata...
Nina jamaa yangu anahitaji laptop budget yake ni TZS 300,000/=,muhimu iwe inakaa na charge si chini ya saa mbili na kuendelea na HDD isiwe chini ya 320,unaweza wasiliana nami kwa Mob 0786 585 490...
Trekta used FORD 4600 hp 59na JOHN DEERE 2130 hp 79 toka ulaya. Hazijafanya kazi bongo. Zote ni reconditioned na zimefungwa vifaa vipya original kwenye engine. Shime wakulima na wenye tender za...
Hi all,
mambo zenu, nauza Computer yangu..[system unit] 2gb RAM (can be extended) na HDD 320gb(can be extended also), Core i3 CPU, nSeries High Performance Unit...bado mpya kabisa..imetumika 2...
Our main objective is to provide a top-class service for companies and individuals interested in sustainable development. With our key activity being collecting and recycling of secondary raw...
Nauza
Sony Bravia flat screen LED inchi 46, fridge kubwa milango 2 LG,
freezer kubwa ya Nyama aina ya Liebherr Heavy Duty, vyote ni original,
vipya na vimetoka Ulaya. Kwa anaehitaji ani PM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.