Nahitaji mwalimu atakayenifundisha music (haswa kupiga kinanda/gitaa), aniinbox tuwasiliane na kukubaliana.
Muhimu: 1.awe anaishi dar es salaam
2.Pia kama kipo chuo kinachofundisha...
Anyone who needs professional help in research proposal writing, data analysis, writing up a final report/dissertation and any other related help, you can PM or contact me at...
Nina habari njema kwako, kama una vikao vya Harusi ,kitchen party , kipaimara ama function yoyote ... Kwa vikao vya arusi ama kikao chochote utapata ukumbi bure kabisa .. Tuwasiliane ili upate...
Kwa wafuatiliaji wa mtandao wa Google, mnafahamu kuwa wana "localised service" ambayo huwa katika nchi husika na inatiwa google trader. Hii huwapatia watu fursa ya kutangaza bidhaa na services...
Ndugu zangu wana JF naombeni msaada,
Kwa yeyote ambaye ni Fundi makini na mwenye uzoefu na kazi yake au anayemfahamu fundi mzuri wa skimming, kupaka rangi, tiles na gypsum ceiling, naomba anipe...
Habari zenu?
Tuna supply nyama baridi (frozen meat) aina zote kwenye catering,hotel,supermarket na sehemu mbalimbali kulingana na uhitaji wa mtu.tunafanya delivery kulingana na quantity na mahali...
Kwa wale wezangu na mimi. ambao kazi zao nyingi wanazifanya katika mazingira ya nje (kwa maana ya maeneo ya vumbi, maji kama vile migodini, baharini ama watu wamichezo. wamahitaji smartphone...
Wadau songea naomba nisaidien kutafuta banda la biashara.hii yote ni kwa sababu tanaka kurudi nyumba ili nifanye mambo huko nyumban .Thanks in advance kaka,dada,shangazi,binamu
Habari wakuu,nina hii product,specification zake ni;10-11HOURS of CHARGE,SIM CARD SLOT which support all sim i.e built in 3G MODEM,Intel Atom 1.6ghz,120gb hdd,1gb ram+2gb external...
Wakuu,
Nipo Zanzibar kwa shughuli binafsi mpaka jumanne tarehe 28 may nitakaporudi Dar. Katika pitapita zangu madukani hapa nimekutana na flat screen tv inch 24 kwa bei rahisi sana, inauzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.