Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kuna ndugu yangu mmoja amehamia huku moshi sasa anatafuta chumba maeneo ya moshi mjini au longuo, anaeweza kusaidia katika hili naomba anipm please
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Wadau natafuta nyumba ya kupanga arusha maeneo maeneo ya mjini au karibu na mjini . Iwe na vyumba 2 vya kulala,sebure,jiko na iwe self contained.kodi isizidi 200,000 kwa mwezi. Call me at 0653...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ninafanya graphics nadesign picha natengeneza banners,logo,dvd cover designing,posters za mabango ya matangazo n.k nshatengeneza posters za barnaba na diamond kma hiyo kwenye picha ofic zangu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mchana.. Huwa naona sa watu wanaandika hivi 3S-FE 2.0L engine, 4WD) 1ZZ-FE 1.8L engine, 2WD) Hizo huwa ni nini?? Husadia nini katika utumiaji wa magari.. Asanteni
1 Reactions
16 Replies
4K Views
1998 Nissan Mistral Automatic , 2.7L , Diesel, blue , station wagon , 140,000 miles , 4 x4 7 seat, full air condition , Open roof , Duty full paid Price: 10,500,000 contact 0657 145555 0772 00...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Wapendwa natafta vijana wanaojua kuimba lakini wanaojua kwamba sauti walizopewa na mungu ni kwaajili ya kumuimbia yeye aliyowapa na si vinginevyo, vijana hao wawe waaminifu kwa mungu pia tutaunda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Namtafuta mtu yeyote aliyemaliza jangwani girls secondary school mwaka 2006 au yeyote anayemfahamu zuhura athuman aweze kunisaidia maana nina baadhi ya nyaraka zake muhimu nimeziokota mimi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa ana hama kikazi anauza vitu vya ndani vyote na kwenda sehemu yake ya kazi mkoani. Zimebakia sofa kama zinavyoonekana hapo. Bei ni 900,000/- ila tunaweza ongea. 0713401812
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wanandugu, PC ni windows 7 ultimate with hdd; 150gb Processor: AMD dual core mobile RM 7 2G.Hz system type; 32 bit OS Display: 15.4 inch, Weight: 2.5kg ram;2 gb TIME; 1;30 hrs without...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba kubwa ya vyumba vitatu na choo/bafu pamoja na dinning,living na kitchen inauzwa. pia nyumba ina eneo kubwa la wazi la linalotosha kujenga nyumba nyingine kubwa. nyumba ipo Kimara - mwisho...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
nadesign logo,posters za matangazo aina zote,dvd cover aina zote,picha na mambo yote yahusuyo graphics ukitaka hudumu mojawapo hapo,tuwasiliane.0762052850 chin ni baadhi ya kaz zangu chache
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza Toyota Noah Model E-SR40G ya Mwaka 2001. Rangi Blue/Silver yenye 1990cc Two Axles Tare weight 1440. Mileage About 100,825km Price: $8,500 Serious buyers: Call 0762 770 750
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nahitaji chumba na sebule kwa ajili ya kupanga, nyumba iwe katika hali nzuri. Maeneo ni kati ya haya mwenge, sinza afrika sana karibu na kona bar (iwe rahisi kujitupia yale mambo yetu nyakati za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninatafuta selfcontained room ya kupanga
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Due to many crashes on my thread then i will make this service free of charge contacts 0715353108 0756144060 mwamalekela@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mwenye namba ya simu ya manager tanroads mwanza anisaidie...au kama unampango wa kuomba field tanroads tuwasiane..
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu salamu ziwafikie. Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia mitaa ya mwenge hadi tegeta yenye bei za 'kawaida' zinazolipika kwa wafanyakazi wa kawaida. Iwe sehemu salama na inayofikika kirahisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HELLOW DAIHATSU MIRA 2003 ,GOOD CONDITION.AC,RIGHT HAND,AUTOMATIC,NO DAMAGE ,EXELLENT CONDITION 100 PERCENT NO ANY PROBLEMS, VERY VERY CHEAP,JUS AROUND 5.3MILLIONS AMAZING PRICE. Contact...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta nokia c5-00 5MP iwe mpya; pia kama kuna used fresh tu nitaangalia bei yako. kama andika na bei unayoiuza hapa
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Wadau naflem morogoro mzumbe chuon nimekwama vifa mashine mana nanaflem 3 kwamenye kujua hilo msada tafazari 0712690760
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom