Sony Ericsson XPERIA X10 mini pro inauzwa TSH 200,000
Inafanya kazi na ipo katika hali nzuri kabisa bei laki mbili sh170,000 .Imetumika Uingereza na sasa hivi ipo Dar naomba wasiliana na HABIBU...
Power station (mashine ndogo ya kuhifadhi umeme kwa matumizi madogo)
1.Battery gel battery: 12V / 7A
2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
Small voltage Sockets:
a. 3 volt
b...
Nice and very little used PROJECTORS from USA available, They can be suitable for various functions. Watching movie in big screen, watching football match in big screen, presentations etc
PRICE...
Hi there
Nahitaji kununua mark II GR au charser, old model iwe imesimama. Budget yangu 2M
Mwenye nayo email au nipigie through
engineertz@gmail.com
0787659145, 0767659145
Natafuta vyumba vitatu kwa ajili ya kufungua work shop viwe kuanzia Mianzini hadi Sakina Bar upande wa kulia kama unatokea MIANZINI. Kilemba laki 250,000 CASH :)OR NINA CHUMBA KINATAZAMANA NA...
wakuu naomba msaada wenu usio wa kitapeli maana nitawafunga haraka sana......nahitaji nyumba nzuri ya kisasa iwe na 4 bedrooms........masterbedroom isikose kati ya ivyo nyumba......iwe na fensi...
Nyumba hiyo ipo maeneo ya Tabata bima ilipo shule ya St.Marry.
Kumbuka nyumba hio ipo na Title ya makazi na bishara. hivyo kunaweza kuwekwa Godown,au chochote kibiashara.
Tuwasiliane kwa maelezo...
RAV 4 short chasis inauzwa kama inavyoonekana kwenye picha
In a good condition, no technical problem
Millage : 235,000 km
Year of Man: 1994
Transmission: Manual
Price : 6.5 m
wajameni nibanwa kuna nyumba nimeshindwa kuimalizia ujenzi wake iko kwenye lenta iko Arusha maeneo karibu na fire mtaa wa jaluo ccm jirani kabisa na kwa malai freight.
Ina vyumba vitatu na...
Tunauza nyumba za kuanzia 17m - 7bn, nyumba hizi zipo masaki , obey, mikocheni, mbezi beach , mbezi ya kimara , kawe nk tunazo nyumba mpya na chakavu. utatujulisha aina ya nyumba unayotaka then...
Wasalaam WanaJF,
Ninahitaji eneo la kupanga kwa ajili ya ofisi hapo Moshi Mjini;
1. Eneo lenye ukubwa usiopungua mita za mraba 200 (200sqm)
2. Liwe Sakafu ya chini (Ground Floor) - linaweza...
Medium density residential plot size 690 sqm with a partially developed residential bungalow completed up to ground slab level and a screen/boundary wall erected around the entire plot, which were...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.