WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Hi wana JF wote,
Natafuta wanunuzi kuni za jumla.
Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo zinapopatikana kuni hizo ni mkoa wa Pwani, umbali wa...
Nauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi matukio ila utakuwa na uwezo wa...
pedi salama kwa wanawake utafiti wa kitaalamu unaonesha kwamba matatizo ya hedhi,kukoma kwa hedhi na vimbe katika kizazi yanazidi kuongezeka moja ya sababu ni matumizi ya pedi zisizo...
Hallow brothers and Sisters
A FREELANCER is somebody who is self-employed and is not committed to a particular employer long term. Je unataka kufaham mbinu zitakazokuwezesha wewe kuwa mmoja wa...
Hallow brothers and Sisters
A FREELANCER is somebody who is self-employed and is not committed to a particular employer long term. Je unataka kufaham mbinu zitakazokuwezesha wewe kuwa mmoja wa...
Mwenye ufahamu kuhusu hili,
Zinahitajika mashine mbili za kutengeneza chakula cha kuku. moja ni ya kusaga na nyingine ya kuchanganya, au ikipatikana unit nzima inayofanya kazi yote pia nayo ni...
Sony Ericsson XPERIA X10 mini pro inauzwa TSH 200,000Inafanya kazi na ipo katika hali nzuri kabisa bei laki mbili sh200,000 .Imetumika Uingereza na sasa hivi ipo Dar naomba wasiliana na HABIBU...
Kiko Kiseke (low density), mita chache kutoka barabara kuu.
Kina ukubwa wa 60.72m x 30.0m, kimepimwa na kina offer letter.
Bei 30M Dalali hatakiwi, kinauzwa na mmiliki.
Serious buyers only...
Nauza Camera ya Sony Alpha A230 Professional still picture ambayo ni katika moja ya Camera nzuri sana.Camera hii imetumika Uingereza lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo Dar es salaam.Camera...
Jiko na mixer ya bakery zinauzwaNauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote...
Powe station (mashine ndogo ya kuhifadhi umeme kwa matumizi madogo)1.Battery gel battery: 12V / 7A
2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
Small voltage Sockets:
a. 3 volt
b...
KIWANJA VISIGA-MADAFU 7M.
Kina 43 kwa 44 meters, Kibaha-visiga madafu, 1 km toka morogoro road, karibu na barabara, kizuri, umeme na maji karibu, ni maeneo ya uwekezaji sana, hasa viwanda. Watu...
Laptop Toshiba TECRA L2 ni laptop iliyo kuwa katika hali nzuri,ina uwezo wa kupiga kazi kwa muda mrefu bila ya kuchemka tofauti na laptop nyingine. Processor =Pentium R (1.73 GHz) ,Memory = 502 MB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.