Wana JF nawasalimu. Ninauza gari Suzuki Escudo milango 5 kwa Sh. 8,200,000/=. Gari liko Dar, lina hali nzuri na linatembea. Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane.
GlanzaS for sell 5 months in Tanzania,driven by a lady...alloy wheel,jvc music and subwoofer.
Serviced on time....asking price 10.5M.......Contact 0713 123 673
natafuta chumba cha kupanga banana, majumba 6 au jiran na hapo. hata km self ni nzuri zaidi.
Kiwe na maji, umeme, maji. mazingira mazuri. sio uswahilin sana.
Androids Smartphones zinauzwa, zimetumika kidogo.
1.HTC Wildfire s bei Tzshs. 200.000.
2. HTC Wildfire bei ni Tzshs. 180.000
3. Orange San Fransisco bei Tzshs. 180.000.
Simu zote ziko katika...
.Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa...
Tangaza Marketing Solutions:
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions
Lengo kuu nikusaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kuweza kujua Wateja wao na wateja kujua bidhaa...
wakuu habari,natafuta chumba cha kupanga buguruni,kiwe kizuri,seling board safi,kisiwe kina vuja,kiwe ndan ya fens,usalama uwepo,in short kiwe cha kisasa cha kukaa mtu mstarabu,piga hz no.#0719477815
Samsung Galaxy Tab 7.7 ina 16GB internal memory na 1GB Ram. Bei ni TZS 550,000/=
Inakuja na:
- Leather Pocket yake with keyboard
- Charger
- Inasupport up to 32GB memory card
Tuwasiliane...
Ndugu wana GREAT THINKER kwanza natakunguliza shukrani zangu kwa wana GT KWA JINSI MNAVYOTOA USHAURI MZURI KILA NINAPOHITAJI USHAURI, THANKS VERY MUCH AND GOD BLESS U ALL. NIna Toyota Rav 4...
Napangisha Apartment ,iko maeneo ya Tabata Sigara.Iko 2nd floor, Ina vyumba viwili vya kulala,living room cum dining,jiko,store,common washroom,balcon mbili,luku inajitegemea na maji yapo.kodi...
Wapi?Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Morogoro Rd (Kimara mwisho).
Ukubwa? mita 28 kwa 26
Bei? milioni 15
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Barabara ipo mpaka kiwanjani
. Ni sehemu ambayo tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.