Vyumba viko poa unaweza kuchukua vyote viwili au kimoja viko opposite na duce karibu na office za CCM na hakuna masharti yeyote just nichek kwa namba 0713532322
Tupo kwenye promotion kubwa katika kutengeneza (Designing) na ku host websites kwa bei rahisi.
Pamoja na kukupa bei rahisi mno ya Tsh 9,000 tu kwa mwezi kwa kuhost website ya aina yoyote!
Lakini...
Wadau nauza king'amuzi cha star times (kipo kwenye box, kama kipya), kimeshalipiwa miezi mitatu, yaani 19th sept- 19th dec 2011. Bei ni sh elfu sitini tu (60,000). Hakina tatizo lolote. Sababu ya...
NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED(KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED)
NAFASI ZA WAKALA MAUZO (SALES AGENTS) WA NYAMA YA KONGWA BEEFNA NGOMBE HAI WATAKAOANZISHA...
NATIONAL RANCHING COMPANY LIMITED(KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED)
NAFASI ZA WAKALA MAUZO (SALES AGENTS) WA NYAMA YA "KONGWA BEEF"NA NGOMBE HAI WATAKAOANZISHA...
picha zinajieleza. gari iko katika hali nzuri kabisa, imetembea kilometer 18,000 tu tangu kuingia nchini.
bei 12,500,000/- (milioni kumi na mbili, laki tano tu)
2500cc, vvti engine, AC, FM radio...
Ina vyumba viwili vya kulala kimojawpo kikiwa maste, sebure na jiko. Kodi shs 350,000 kwa mwezi. Unalipa kodi ya mwaka 4,200,000 pamoja na kodi ya mwezi ya wakara. Karibu.
wadau,habarini za wikiend
mwenzenu natafuta telescope ya kununua mitaani wapi naweza kuipata? mwenye nayo au anayrfahamu wapi naweza kupata aniPM au anipe namba za simu na bei yake
JF daima
Wadau anaejua duka la fanicha za shule kama vile viti vya plastic nzito na miguu ya chuma na desks zenye miguu ya chuma pia kwa hapa Dar wanakouza bei ya rejareja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.