A rare opportunity to own a parcel of land located just less than 35km from Dar es Salaam city centre and less 25km from the center of Historical Town, Bagamoyo District Council. The land of 8...
Viwanja vipi kigamboni mwisho wa project ya mji mpya. Kimoja kina ukubwa wa Ekra moja kinauzwa 32m. Kipo mita 100 toka barabara kubwa ya lami. Kingine kina ukubwa wa mita 26 kwa 37 kipo mita 300...
Napatikana Dar, nahitaji mini laptop.. iwe kwenye hali nzuri au if possible nielekezwe sehemu nayoweza pata ya mtumba.. dau langu ni 300,000/= za Kitanganyika..
Ninauza kabati la kioo na aluminium la kudisplay lilikuwa linatumika stationery ni jipya.width 250cm, heigt 125cm.lipo maeneo ya upanga karibu na fire, kama unahitaji piga 0787428754.tuwasiliane
Hii ni kwa wale wote wamiliki wa migahawa na hoteli saizi ya kati pamoja na familia kubwa. Simgas tanzania limited inaweletea kwenu gesi itwaayo 'gesi 2000' hii ni baada ya mafanikio ya miezi 10...
habarini wadau , tunatafuta location nzuri kwa ajili ya kipindi cha mahojiano ya television, tutaonyesha eneo husika, eneo liwe ni zuri kwa ajili ya burudani, exciting , entertainment au kitu...
Our company is making electric fence system for security purpose more affordable in Tanzania. We also give a warrant of one year after installation. We also deal with CCTV and motional sensor...
Hello!
Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web
Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako...
Maeneo: Mwenge, Savei, Mlimani city, Makumbusho, nk..
iwe na vyumba viwili vya kulala, sebule pamoja na jiko. Iwe ndani ya fensi.
Bajeti yangu ni 250,000.
natanguliza shukrani.
wakuu hali zenu, kwa yoyote mwenye connection ya watu wanaonunua haya magari, mie natafuta mteja, tukubaliane bei ni mil 55, tunaandikishana mkataba likifika ana nunua, hatoi hata hela yake mpaka...
habari zenu wakuu kuna iPad 2 yenye 3g na WiFi IPO kwenye hali ya upya.imetumika wiki tatu tu!.
bei 850,000 tsh maelewano yapo.
pigs 0688112112 au 0719223225
Mimi ninauza Mbwa aina ya Belgian Shepherd Malinois, nimebakiza puppies wa 3. Majike 2, Dume 1. Wamezaliwa wana wiki 1 mpaka leo trh 21 July 2012. wamezaliwa puppies wa5 wawili wapo kwenye oda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.