Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
​natafuta nyumba ya kupanga sinza vyumba wiwil na sebule ,jiko iwe self ada isizid 250000, please nisaidien citak dalali:A S 465::eek2::eek2:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu huko home TZ, Samsung Galaxy Tab, 8 inch or 10.x inch inauzwa bei gani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mwenye kufahamu wapi zinapatikana bumgenius diaper hapa bongo anijuze.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook CHANZO NI UONGOZI WA JF
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF!Kiwanja kinauzwa Eneo:Kibamba CCM Umbali:1.5km kutoka Morogoro Road Ukubwa wa kiwanja:20x50 mita Barabara:Gari linafika mpaka kwenye kiwanja Bei:12mil Tshs Hakijapimwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kiwanja cha nusu heka kipo mabwe pande kina minazi, michungwa, n mipera. Bei million 9 tu. Kama upo interssted tafadhari ni pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari za hapa jamvini wakuu nahijaji collections tajwa hapo juu kama copy 1,000 kwa anayefanya biashara hiyo naomba ani PM nitatoa namba yangu pale ntakapopata PM yako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1... Zinahitajika haraka VX V8 133 2... Inahitajika haraka Mitambo ya Dharura ya Kuzalisha Umeme PM Baba_Enock kwa maelezo zaidi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
HABARI WANAJAMVI? Leo napenda kuwashauri kuhusu kutumia cctv n surveilance. cctv and surveilance ni nini? Hii ni system inayounganisha security camers, na dvr ambapo mtu aneweza kuona maeneo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nauliza duka linalouza fomaika jijini Dar,kama kuna anayefahamu tafadhali anipe maelezo ya duka lilipo,hasa nahitaji za rangi nyeupe na pia rangi nyeusi,natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nyumba inauzwa iko mbagala charembe mita 200 kutoka barabani sh mil 15 pia mazungumuzo yapo. Dalali hatakiwi. Nipigie namba ni 0655075454
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayehusika. Nahitaji Frem ya duka maoneo ya Moshi bar G/mboto kwa anayefahamu pia iwe sehemu nzuri kwa biashara na ningependa kujua na gharama.
0 Reactions
0 Replies
875 Views
DML consults,we are providing data analysis(secondary and primary data) and presentations for both academic works,projects,researchs and studies,as well as trainings for Statistical packages...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Brand: Dell Latitude E6410 Processor Brand: Intel Processor Class: Intel Core i5 Processor Type: Dual Core Processor Speed: 2.4GHz with RAM Boost to 2.93GHz Screen Size: 14.1" Memory Size...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajf, habari za,' majukumu? nina simu aina ya samsung gt-s5233a, ipo vzri kabisa bila dosari yoyote. ningependa kubadilishana na member yeyote mwenye simu aina ya nokia E-5, nokia E-6. Au kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Nahitaji Chumba (Master) iwe na Sebule maeneo yaliyotajwa hapo Juu kwa ajili ya Shemeji yenu Mtarajiwa!!!! Maji yawe available, na pasiwe uswazi. Shukrani!!!
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Msaada natafuta battery ya Blackberry Bold 9780 ninayotumia haikai na charge muda mrefu mwenye kuwa nayo naomba tuwasiliane ili nijue bei ni shilingi ngapi pia waweza kuni PM. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nauza nokia c7 ni mpyaaa kabisa bei ni laki3 tu (No Discount)!! number zangu ni 0656-072553 au 0782-895676 specification zake ni kama ifuatavyo::: 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Containers for Sale at very Low Price. With full documents, in a very good condition. Price: 40ft Tsh 5.5mil 20ft Tsh 4 mil Call: +255 712 787 939 or email me @ Email: buyanza@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Naihati marine boards haraka, za kukodi au kuuzwa. Kwa mawasiliano (0767123216)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom