Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Sumsang wave II inauzwa mpya...bei laki 5
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Km 68,000 ipo safi. Bei mil. 7.5 negotiable. Mwenye kuhitaji aniPM..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je ungependa kuwa na website ya kisasa na yenye ufanisi kwa biashara au kampuni yako? Usisumbuke karibu Microtelecomms. Tutakutengenezea website ya kisasa na yenye ufanisi kwa biashara yako au...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Wanajamii: Kiwanja kipo Mbweni Mpiji - Kinondoni kinauzwa kwa bei ya maelewano. Kina eneo la sgm 662 ha hati miliki safi. kwa mawasiliano zaidi nipigie 0713-354090
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina kiwanja nauza GOBA umbali wa 1km kutoka Goba Stand. Kina ukubwa wa mita 40 kwa 40. Kipo mahali pazuri karibu na barabara na umeme haupo mbali. Kwa anayehitaji awasiliane nami kwa 0762-088603...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
moja ina vyumba 26, inafaa kwa matumizi ya ofisi na inaeneo kubwa , pia ni nzuri kwa anayewaza kufanya biashara ya hotel hapa Dar . ingine ni kwa ajiri ya kuishi ni apartment ipo stabey B. na...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Nyumba ina eneo kubwa unaweza paki hata gari 50 kwa wakati mmoja na ipo sehemu nzuri sana . inafikika kirahisi kabisa . inafaa kwa matumizi ya ofisi au kwa anayetaka kufanya biashara ya hotel...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Habari wanajamvi, Naomba kujua gharama ya dekoda, dish na installation kwa ujumla. Asante
0 Reactions
11 Replies
3K Views
HONDA XR600 INAUZWA!(ARUSHA!) pikipiki iko kwenye hali nzuri kweli. Imetembea km 25.000 km tu tangu mpya yake 1993.zaidi ya miaka kumi ilikaa bila kutumia. Kila wakati ilifanya service sawa sawa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nauza body ya mistubishi Chariot, bado ipo bomba, inasumbua engene sasa me nimekosa pesa ya kubadilisha engene ili niweke ya Rav 4, kama unaitaji ni shilingi milion 2.5, mawasiliano ni 0652-110878
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani Ninauza Mafuta halisi ya ALIZETI toka singida sasa yapo Dar maeneo ya mbezi yapo kwenye ujazo wa lita 5, BEI POA ujazo wa lita 5 ni sh.16,000 TU. Mafuta halisi kwa afya bora..Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta mwenyeji Mwanza, nipo kwa siku kadhaa.
0 Reactions
1 Replies
758 Views
eneo la skwata,nyumba ina vyumba sita,choo, ina eneo kubwa, nyumba ni ya kizamani ila eneo linalipa na lipo katika hali nzuri.Bei yake ni Tshs 40,000,000/=.Ukitaka kuliona eneo nipigie +255715 46...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza hii Camera ambayo itawafaa wenye kurecodi shughuli mbali mbali za kibiashara.Camera ni nzuri sana na inafanya kazi bila wasiwasi wowote na inatoa Quality picture na kwa wanayoijua watafahamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba chakavu 4 zinauzwa zikiwa katika viwanja tofauti 3 zipo kinondoni shamba moja ipo keko. kati ya hizo tatu moja unaweza paki gari mpaka mlangoni na hizo mbili gari hazifiki. nyumba hizi ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
tunayumba za kupangisha , kuuza . kwa matumizi binafsi na ofisi kwa maeneo niliyotaja hapo juu. kwa anayetafuta nyumba maeneo hayo tuwasiliane, na pia kwa anayetaka kuuza nyumba au mali yoyote ...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ninaiUza samsung Galaxy S used, its running the latest ICS Android OS. Anyone interested?please note down your offers?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ipo Ilala, iko barabarani kabisaa, nyumba kubwa inavyumba 6 na vyumba vya uani 5.. Na eneo linabaki. Bei milioni 500 bei inapungua, mawasiliano.. 0713133633
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Simu inauzwa Sony erickson touch screen U5i imetumika miezi 3 tu you can google it for more information Bei 250,000 phone 0686990399
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni nzuri , ina mlango wa ku-slide, na floor tiles nzuri. Fremu hii ipo barabara ya changombe na inatazama bara bara hiyo. Ipo kati kati ya maduka mawili na bora bei ni tshs. 90,000 kwa mwezi na...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Back
Top Bottom