Wadau!
Nipo hapa mjini A town kwa makazi!
Inahitajika pikipiki (USED) tajwa hapo kwa Tsh 750,000/= iwe na viambatanisho vyake vyote
Mwenye kuwa nayo asisite kunijuza kupitia PM!
Wakuu salaam,
Nahitaji truck long base kubeba mzigo wa 1 ton,mrefu kama 25metres, kwenda Kigoma una uzito wa 1ton,uwezo wangu ni kulipia shilingi million 3 za kitanzania .Mzigo unatakiwa...
Wakuu, natafuta wataalamu wa kuprint LEBO, POSTERS na BROCHURES kwa bei nafuu inayotia moyo kufanya nao kazi. Naomba kwa yeyote anayewafahamu au kuhusika na wataalamu wa mambo hayo wanisaidie...
SIZE: 1200 Sqm (1 plots) AU 30 KWA 40
BEI: MIL 25
SIFA YA KIWANJA
ENEO LINA HATI MILIKI HALALI
KIWANJA KINA MIUNDOMBINU YOTE MAJI NA UMEME VIMEFIKA KATIKA KIWANJA
GARI AINA ZOTE ZINAFIKA...
I am looking for Event planner and organiser Companies that does the following items;(Dar & Morogoro)
Provide an "MC" (Master or Mistress of Ceremony) who can guide the participants through some...
jamani ndugu zanguni nina magari haya nauza
Audi A6 excutive 1999 iko kwenye condition nzuri niya silver nani automatic mwingereza u can expect the quality mil. 16 tuu na nina Daihatsu...
Ninauza HOUSING za simu ya TECHNO.
Housing zipo HIGH QUALITY, bei ni 6,000/-tshs kwa pisi.
Ninayo pisi kama 30, za Model tafauti tafauti.
Usikose Hiyo OFA, Techno Mobile zipo kibau hapo mjini...
Natangaza nafasi ya mtu yeyote kutengeneza pesa ukiwa nyumbani kwa mara ya kwanza campuni ya wazzub inatafuta mashirika na watu binafsi kukuza webpage yao iwe kama google au search engine...
Ninatafuta Generator ya kuwashia taa zangu na feni bila FRIDGE
Ninaweza kupata kwa bei gani na lina ukubwa kiasi gani?
Naomba msaada kutoka kwa wataalam wanisaidie
Ina vyumba vitatu,jiko, sebule, sehemu ya kulia chakula na stoo.
Ina umeme na maji.
Chumba kimoja kati ya hivyo ni self.
Gharama ni Tsh 300,000/ ambayo italipwa kwa mkupuo wa miezi mitatu,sita...
Nataka kufungua biashara nataka nami niwe na ile machine ya MAXCOM AFRICA, na M-PESA, na TIGO PESA
JE FAida yake wenzangu mnaijuwa inalipa?
Maana naona watu wengi wanafanya tayari
NISAIDIEN...
Ninahitaji freezer kwa ajili ya kugandisha mabarafu ya size mbalimbali ikiwemo size kubwa wanayotumia kuhifadhia samaki au kupoza vinywaji wakati wa sherehe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.